Jamaa alikuwa anamtumia tu huyo mwanamke lakini huwa hatulii kwenye mapenzi ya muda mrefu namna hio.
Isitoshe wamefanya sana break-up and make-up vikaos hivyo wanaelewana sana , huedna huko mhble wakarudiana.
Kuna binti mmoja aitwae Jocelyne Chew ambae ameonekana na Combs kwenye viunga vya Staples Center mjini LA, na kule IG wanafuatiliana na Cassie alipogundua hiyo akaacha kumfuatilia Combs wiki ilopita.
Kiuhalisia, Cassie amechukua maamuzi sahihi ingawa ni mgumu kuzingatia fedha za Combs kule benki, matanuzi na mambo mengine ya kutumia pesa.
Ila Combs na Csssie kwa muda walokaa walifaa kutulia pamoja na jamaa ukware ulizidi na umeharibu kila kitu.