Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
how old are you?Hata kama pesa ipo ila utaratibu wa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja na kila mama ana mtoto wako yani wanawake kumi huwa hainingi akilini,mimi napenda watoto wangu wawe wa mke mmoja ili wapendane kutokana na misingi ya malezi yangu Mungu uzidi kunipa hamu hii nisijeteteleka na vimada