Baada ya miaka 10 ya mahusiano bila ndoa. P-Didy na Cassie waachana rasmi

Baada ya miaka 10 ya mahusiano bila ndoa. P-Didy na Cassie waachana rasmi

Hata kama pesa ipo ila utaratibu wa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja na kila mama ana mtoto wako yani wanawake kumi huwa hainingi akilini,mimi napenda watoto wangu wawe wa mke mmoja ili wapendane kutokana na misingi ya malezi yangu Mungu uzidi kunipa hamu hii nisijeteteleka na vimada
how old are you?
 
Cassie hana tako kabisaa, sema wanyamwezi kwao tako sio ishu, sio kama sie waswahili. Ingekuwa bongo tungemshangaa Diddy kwanini anachukua flat screen wakati ana pesa chafu, ila kwa 'wazungu' kwao fresh tu. Sema ana sura nzuri sana
Ngozi nyeusi ni nyeusi tu ,hao ma negro wanahusudu kalio vizuri sana ..Wazungu ni Race nyingine kabisa tofauti na kina Diddy
 
Is it you...is you...ohhh no it wasn't you to diddy
Ktk hii nyimbo case alisema anatafuta lover not a friend....sasa has gone long way yo earn a friend not a lover duh....
huo wimbo aiseeh huwa siuchoki toka miaka hiyo mpka leo ninao yani huwa naudownload tena na tena.
 
Hata kama pesa ipo ila utaratibu wa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja na kila mama ana mtoto wako yani wanawake kumi huwa hainingi akilini,mimi napenda watoto wangu wawe wa mke mmoja ili wapendane kutokana na misingi ya malezi yangu Mungu uzidi kunipa hamu hii nisijeteteleka na vimada
Wewe mliyezaliwa kwa mama yenu kutoka kwa baba mmoja unaweza sem hivyo, ila ambao wamezaliwa kwa mama tofauti hawatakuelewa hata kidogo, bila wake wengi ama michepuko wengi tu humu JF wasingekuwepo, wacha watu wazaliwe bwana
 
View attachment 902516
There is something there, between these two.

10 years no kids?

View attachment 902515
Look at that!

Sean Combs lazima atabadili mawazo na kwenda kupiga goti kwa Cassie kuomba msamaha.
Watarudiana tu hawa....ndo maana Diddy akiulizwa hasemi kama wameachana!

Anayeropoka kuachana ni huyo Cassie, ngoja hasira zimuishe sijui Chew atakimbilia wapi kwa aibuu
 
Kumchuna kivipi wakati naye ni tajiri? Hofu yake tu, maana hata kama anamchuna hawezi kumchuna kama wanavyomchuna maskini kina Cassie. JLo sema itakuwa hakumfeel jamaa, ilikuwa ni mahusiano ya showoff tu. Kama alikuwa radhi kutoka na madensa wake na kuwahonga why ashindwe kukaa na Diddy mwenye pesa?
Kipindi kile Jlo hakuwa na mshiko mkuu!...alikuwaga kaigizaga movie inaitwa wedding planner hata haikuvuma kivile...so diddy alivyoanzaga kumla ndo akajulikana duniani na madeal akaanza kuyapata na kile kile kibao chake cha ' if u had my love' alitungiwa na kurekodiwa bure na Diddy...ndo maana mama mtu alikuwa anasema mwanae anachunwa!

All in all Jlo hakumpenda P Diddy hata kidogo alitaka kujulikana tuu ili afanye yake!...
 
Cassie hana tako kabisaa, sema wanyamwezi kwao tako sio ishu, sio kama sie waswahili. Ingekuwa bongo tungemshangaa Diddy kwanini anachukua flat screen wakati ana pesa chafu, ila kwa 'wazungu' kwao fresh tu. Sema ana sura nzuri sana
Sura A+

Cassie mzuri jamani...yaan namuangaliaga hata nusu saa
 
Jamaa mjanja sana aliogopa akimpeleka church au aki mdhibitisha kisheria wakiachana itakua 50/50 kugawana utajiri ila hata yule maza wa didy mkaksi balaa alimkataaga jlo kwamba anamchuna diddy.
Sure mkuu[emoji122]
 
Kafanya vibaya sana.....mtoto wa watu kaacha njemba kibao amegandana nae leo anakuja mtosa dakika za majeruhi
Hajatoswa sema bidada hasira za cheating kamkimbia jamaa!

Cassie ndo zake hizo ....hasira ikiisha anarudi
 
Back
Top Bottom