Baada ya miaka 15 mdogo wangu wa kike ndiyo kaniambia rafiki yake alijua nitamuoa

Ulizingua pakubwa mwanetu. Bila shaka mdogo wako alikuwa anamjua nje ndani rafiki yake kwamba anakufaa kaka mtu ila ukawa boya.
Sioni mahali alipokosea kwa maana kuwa Mwanaume Haina maana kwamba kila sketi itakayopita mbele yako basi wewe ni kutongoza tuu.....wengine waache waende....
 
Unajua kwa tamaduni za makabila mengine huwezi kuanza kumtongoza rafiki wa dada au mdogo wako au yeye akutongozee tunamipaka ya kuheshimiana
Si mipaka bali ni ushamba wa muhusika binafsi, wazee wa miaka ya zamani literally before the Tanganyika independence wengi ukichunguza utagundua alioa sister wa rafiki yake au akitolewa na rafiki wa brother yake. Kuna mifano hata ya wazee maarufu sana wa nchi hii(I'm related to them so I won't mention their names) hivyo since way back hiyo ilikuwa ni 'obvious' connection.
 
Unajua ulishawahi kuwa na yale maisha hujawahi kumuwaza au kumfikiria mtu,ingawa mala nyingi hii iko kwa wanaume,unakuwa unamfikilia mwanamke ambaye hana taimu na wewe kabisa,na ndivyo ilivyokuwa kwangu
Ukarimu unavutia.

Hapo ulionekana mkarimu, bidada akasema huyu atafaa kwa matumizi ya familia.

Ila masikini mila na tamaduni zikamdhulumu nafasi ya kujieleza hata apate kujua mapema tu kuwa una mtu wako.

Akabaki na jakamoyo na matumaini kwenye jambo lisilo na utimilifu.
 
Ndiyo hivyo tena na mila zetu za kiafrica nadhani ilimuadhiri kwa namna moja au nyingine ndiyo maana nasikia huko aliko alizalishwa na mtu wakaachana naye
 
Kwenye maisha mambo ni mengi, umenikumbusha aisee. Nikiwa chuo kuna dada tulikuwa karibu sana kwenye magroup ya kudiscuss hadi marafiki zangu wakawa wanasema kwamba yule dada ameonesha upendo zaidi lakini mimi sikuwa na muda wala sielewi. Kwa kweli tulikuwa marafiki hadi tunamaliza chuo then tukapoteana kabisa. Baada ya miaka nane nikaona namba ngeni kumbe ni yeye. Tukaongea sana na akauliza kama nimeoa nikajibu ndio lakini yeye akasema alizaa tu na mtu wa dini nyingine na hakuna ndoa. Akasema hivi " nilijitahidi kuwa karibu sana lakini hata hukuona kitu labda hukuwa fungu langu" hii kauli ikafanya nikumbuke maneno ya marafiki zangu na nilijisikia vibaya. Baada ya hapo hatukuwahi kuwasiliana tena na miaka mingi imepita.
 
Wanawake wengi wamebaki kuumiza hisia zao sababu ni wagumu au waoga kututamkia ukweli
 
Marafiki wa masista nimewala sanaa
tena kiulaini sanaa

Nashukuru nna masista wengi ingawa wale wakubwa ni makauzu ila walinipa pass ndefu

Big up my sistaz
Mleta mada wee ni boonge la pimbii.
 
Mimi siwezagiiii ku date na watu ambao sijawapenda.

MAPENZI yana maajabu mengi namshanga huyu mdada miaka nenda rudii hachokii nipigia simu hata mara 100 kwa siku sipokei sijawai kumkula ila hachokii kujileta leta na Wala hata simuwazi Wala kumfikilia..
Lidada limenona Lina tako umbo zurii ila Mimi sina feeling nalo vice versa Mimi pia Kuna watu nimewai WAPENDA na wakanimwaga.
 
Kwenye maisha mambo ni mengi, umenikumbusha aisee. Nikiwa chuo kuna dada tulikuwa karibu sana kwenye magroup ya kudiscuss hadi marafiki zangu wakawa wanasema kwamba yule dada ameonesha upendo zaidi lakini mimi sikuwa na muda wala sielewi. Kwa kweli tulikuwa marafiki hadi tunamaliza chuo then tukapoteana kabisa. Baada ya miaka nane nikaona namba ngeni kumbe ni yeye. Tukaongea sana na akauliza kama nimeoa nikajibu ndio lakini yeye akasema alizaa tu na mtu wa dini nyingine na hakuna ndoa. Akasema hivi " nilijitahidi kuwa karibu sana lakini hata hukuona kitu labda hukuwa fungu langu" hii kauli ikafanya nikumbuke maneno ya marafiki zangu na nilijisikia vibaya. Baada ya hapo hatukuwahi kuwasiliana tena na miaka mingi imepita.
MAPENZI YANGU_G.A.F.L.A Bin VUU, ulicho andika ndicho kilicho imbwa na gafla bin VUU kwenye wimbo wake huu wa MAPENZI YANGU.
 
Back
Top Bottom