Sioni mahali alipokosea kwa maana kuwa Mwanaume Haina maana kwamba kila sketi itakayopita mbele yako basi wewe ni kutongoza tuu.....wengine waache waende....Ulizingua pakubwa mwanetu. Bila shaka mdogo wako alikuwa anamjua nje ndani rafiki yake kwamba anakufaa kaka mtu ila ukawa boya.
Hongera mkuuSijaumia ila nilishangaa mdogo wangu kuniambia haya,maana nilimuowa yule mpenzi wangu wa zamani niliyekuwa namtunzia heshima yake na kanizalia mtoto ambaye ni sehemu ya famiria yangu
Si mipaka bali ni ushamba wa muhusika binafsi, wazee wa miaka ya zamani literally before the Tanganyika independence wengi ukichunguza utagundua alioa sister wa rafiki yake au akitolewa na rafiki wa brother yake. Kuna mifano hata ya wazee maarufu sana wa nchi hii(I'm related to them so I won't mention their names) hivyo since way back hiyo ilikuwa ni 'obvious' connection.Unajua kwa tamaduni za makabila mengine huwezi kuanza kumtongoza rafiki wa dada au mdogo wako au yeye akutongozee tunamipaka ya kuheshimiana
😂😂Ndo maana unaitwa maandamano
😂Ndo maana unaitwa maandamano
Ukarimu unavutia.Unajua ulishawahi kuwa na yale maisha hujawahi kumuwaza au kumfikiria mtu,ingawa mala nyingi hii iko kwa wanaume,unakuwa unamfikilia mwanamke ambaye hana taimu na wewe kabisa,na ndivyo ilivyokuwa kwangu
Iko hivi nilikuwa sina mambo ya kumsaliti mwenzangu,au usaliti haukuwa sehemu ya maishaUmetuangusha sana
Ndiyo hivyo tena na mila zetu za kiafrica nadhani ilimuadhiri kwa namna moja au nyingine ndiyo maana nasikia huko aliko alizalishwa na mtu wakaachana nayeUkarimu unavutia.
Hapo ulionekana mkarimu, bidada akasema huyu atafaa kwa matumizi ya familia.
Ila masikini mila na tamaduni zikamdhulumu nafasi ya kujieleza hata apate kujua mapema tu kuwa una mtu wako.
Akabaki na jakamoyo na matumaini kwenye jambo lisilo na utimilifu.
Wanawake wengi wamebaki kuumiza hisia zao sababu ni wagumu au waoga kututamkia ukweliKwenye maisha mambo ni mengi, umenikumbusha aisee. Nikiwa chuo kuna dada tulikuwa karibu sana kwenye magroup ya kudiscuss hadi marafiki zangu wakawa wanasema kwamba yule dada ameonesha upendo zaidi lakini mimi sikuwa na muda wala sielewi. Kwa kweli tulikuwa marafiki hadi tunamaliza chuo then tukapoteana kabisa. Baada ya miaka nane nikaona namba ngeni kumbe ni yeye. Tukaongea sana na akauliza kama nimeoa nikajibu ndio lakini yeye akasema alizaa tu na mtu wa dini nyingine na hakuna ndoa. Akasema hivi " nilijitahidi kuwa karibu sana lakini hata hukuona kitu labda hukuwa fungu langu" hii kauli ikafanya nikumbuke maneno ya marafiki zangu na nilijisikia vibaya. Baada ya hapo hatukuwahi kuwasiliana tena na miaka mingi imepita.
Yeah! Ni kweli kabisa pengine angeonesha kwa maneno na kwa ujasiri labda kuna jambo lingetokea...Maisha ni Fumbo.Wanawake wengi wamebaki kuumiza hisia zao sababu ni wagumu au waoga kututamkia ukweli
Nimejikuta nachekaa nauanza siku kwa chekoNdo maana unaitwa maandamano
Mimi siwezagiiii ku date na watu ambao sijawapenda.Marafiki wa masista nimewala sanaa
tena kiulaini sanaa
Nashukuru nna masista wengi ingawa wale wakubwa ni makauzu ila walinipa pass ndefu
Big up my sistaz
Mleta mada wee ni boonge la pimbii.
MAPENZI YANGU_G.A.F.L.A Bin VUU, ulicho andika ndicho kilicho imbwa na gafla bin VUU kwenye wimbo wake huu wa MAPENZI YANGU.Kwenye maisha mambo ni mengi, umenikumbusha aisee. Nikiwa chuo kuna dada tulikuwa karibu sana kwenye magroup ya kudiscuss hadi marafiki zangu wakawa wanasema kwamba yule dada ameonesha upendo zaidi lakini mimi sikuwa na muda wala sielewi. Kwa kweli tulikuwa marafiki hadi tunamaliza chuo then tukapoteana kabisa. Baada ya miaka nane nikaona namba ngeni kumbe ni yeye. Tukaongea sana na akauliza kama nimeoa nikajibu ndio lakini yeye akasema alizaa tu na mtu wa dini nyingine na hakuna ndoa. Akasema hivi " nilijitahidi kuwa karibu sana lakini hata hukuona kitu labda hukuwa fungu langu" hii kauli ikafanya nikumbuke maneno ya marafiki zangu na nilijisikia vibaya. Baada ya hapo hatukuwahi kuwasiliana tena na miaka mingi imepita.
UMOJA WA WACHAKATA MBUSUSU/ PAPUCHIII TAIFA.Umetuangusha sana
Nimejikuta nachekaa nauanza siku kwa cheko