MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kisumu? Nina mashaka!!!View attachment 2838438
Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa. Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR.
Daraja hili la juu linayaacha kiasi fulani majiji mengine Arrika mashariki kwa kupata daraja hili la juu. Baadhi ya majiji hayo ni Mbeya, Tanga, Arusha, Kigali Rwanda, Bujumbura, Dodoma, Kisumu nk.
Kwa maana ya kuongeza njia nne?Litabadili sana mandhari ya jiji la Mwanza kuwa ya kupendeza! serikali ijenge na ile barabara ya kutoka mjini kwenda Usagara.
Inabidi upanuzi wa njia nne ufanyike kwa barabara hiyo, na hata hii ya mjini kuja Nyanguge.Kwa maana ya kuongeza njia nne?
Wee chawa sema litapata, bado halijapata.View attachment 2838438
Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa. Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR.
Daraja hili la juu linayaacha kiasi fulani majiji mengine Arrika mashariki kwa kupata daraja hili la juu. Baadhi ya majiji hayo ni Mbeya, Tanga, Arusha, Kigali Rwanda, Bujumbura, Dodoma, Kisumu nk.
Hapa Dom mjini yapo kama manne hivi kuanzia Makulu hadi Kikuyu.Mmmh!
Mleta mada wewe ni mshamba kweli kweli. Kuna kitu gani kipya cha ajabu hapo?
Kama ni daraja la juu la njia ya reli, kwa Kilimanjaro (Same kuelekea Mwanga) limekuwepo tangu Uhuru!
Mleta mada umewahi kufika Dodoma?
Hayo mabeam ya SGR kama hilo la Mwanza yapo tele, miaka kadhaa sasa, na bado hayajakamilika.
Nimejaribu kuwaza, hilo ni daraja kweli? Mbona ni fupi sana?View attachment 2838438
Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa. Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR.
Daraja hili la juu linayaacha kiasi fulani majiji mengine Arrika mashariki kwa kupata daraja hili la juu. Baadhi ya majiji hayo ni Mbeya, Tanga, Arusha, Kigali Rwanda, Bujumbura, Dodoma, Kisumu nk.
Sio poa mlimuumbua MSAGA SUMUHapa Dom mjini yapo kama manne hivi kuanzia Makulu hadi Kikuyu.
Pia lingine lipo Bahi.
Mleta mada hajatembea....
Inabidi afanye utalii wa ndani ili awe anatoa taarifa sahihiSio poa mlimuumbua MSAGA SUMU
Kupitia Buhongwa??Litabadili sana mandhari ya jiji la Mwanza kuwa ya kupendeza! serikali ijenge na ile barabara ya kutoka mjini kwenda Usagara.