Baada ya miaka 2000 hatimaye Mwanza yapata daraja la juu la kwanza

Baada ya miaka 2000 hatimaye Mwanza yapata daraja la juu la kwanza

Mmmh!
Mleta mada wewe ni mshamba kweli kweli. Kuna kitu gani kipya cha ajabu hapo?
Kama ni daraja la juu la njia ya reli, kwa Kilimanjaro (Same kuelekea Mwanga) limekuwepo tangu Uhuru!

Mleta mada umewahi kufika Dodoma?
Hayo mabeam ya SGR kama hilo la Mwanza yapo tele, miaka kadhaa sasa, na bado hayajakamilika.
Hapa Dom mjini yapo kama manne hivi kuanzia Makulu hadi Kikuyu.

Pia lingine lipo Bahi.

Mleta mada hajatembea....
Siongelei underpass na huo uchafu mwingine naongelea madaraja ya nusu km hapa
 
View attachment 2838438
Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa. Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR.
Daraja hili la juu linayaacha kiasi fulani majiji mengine Arrika mashariki kwa kupata daraja hili la juu. Baadhi ya majiji hayo ni Mbeya, Tanga, Arusha, Kigali Rwanda, Bujumbura, Dodoma, Kisumu nk.
Ni kwamba umelewa au una shida gani
 
Mmmh!
Mleta mada wewe ni mshamba kweli kweli. Kuna kitu gani kipya cha ajabu hapo?
Kama ni daraja la juu la njia ya reli, kwa Kilimanjaro (Same kuelekea Mwanga) limekuwepo tangu Uhuru!

Mleta mada umewahi kufika Dodoma?
Hayo mabeam ya SGR kama hilo la Mwanza yapo tele, miaka kadhaa sasa, na bado hayajakamilika.
Ni msukuma wala usijisumbue
 
Back
Top Bottom