Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Daraja analozungumzia sio la namna hiyo! lile la Mwanza ni viaduct yenye urefu wa 1.4 km treni inapita juu.Draja la juu la reli lipo Kilimanjaro (Same-Mwanga) tangu zamani sana, huenda kwa zaidi ya miaka 50 sasa lipo hapo, na hakuna mtu wa Kilimanjaro aliwahi kulishobokea.