Baada ya miaka 2000 hatimaye Mwanza yapata daraja la juu la kwanza

Baada ya miaka 2000 hatimaye Mwanza yapata daraja la juu la kwanza

Mmmh!
Mleta mada wewe ni mshamba kweli kweli. Kuna kitu gani kipya cha ajabu hapo?
Kama ni daraja la juu la njia ya reli, kwa Kilimanjaro (Same kuelekea Mwanga) limekuwepo tangu Uhuru!

Mleta mada umewahi kufika Dodoma?
Hayo mabeam ya SGR kama hilo la Mwanza yapo tele, miaka kadhaa sasa, na bado hayajakamilika.
Huyo ni chawa kama chawa wengine tu.
 
Achaneni na mawazo ya njia nne, zinatakiwa zijengwe njia sita na kuendelea keyatta na Nyerere road.
Mkuu, kwa Serikali ipi? Hata mbili ni changamoto. Hadi leo wameshindwa hata kupanua barabara ya mjini hadi Buhongwa, sembuse.
 
HuYu jamaa hajatembea tembelea hata reli ya tazara madaraja hayo ni mengi mno zipo sehemu kama makambako gari inapitajuu treni chini flay over mbeya madaraja kama hayo yapo mawili
 
Back
Top Bottom