Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Daraja analozungumzia sio la namna hiyo! lile la Mwanza ni viaduct yenye urefu wa 1.4 km treni inapita juu.Draja la juu la reli lipo Kilimanjaro (Same-Mwanga) tangu zamani sana, huenda kwa zaidi ya miaka 50 sasa lipo hapo, na hakuna mtu wa Kilimanjaro aliwahi kulishobokea.
Kwahyo unalinganisha hicho kivuko hapo na hiyo njia ya juu inayojengwa mwanza? Labda tukutolee mfano unaona ile njia ya tren ya juu dsm inayotoka mjini inapitq mpka buguruni na kuendelea unaifahamu? Ndo kinachojengwa mwanza.Draja la juu la reli lipo Kilimanjaro (Same-Mwanga) tangu zamani sana, huenda kwa zaidi ya miaka 50 sasa lipo hapo, na hakuna mtu wa Kilimanjaro aliwahi kulishobokea.
Mjinga huyoSiongelei underpass na huo uchafu mwingine naongelea madaraja ya nusu km hapa
Mfano mzuri aangalie kilichojengwa dar kutoka mjini tren inapita juu kwa umbali wa KM kadhaa mpk bugurun huko na kuendelea kuepusha misongamano na ajali mjiniDaraja analozungumzia sio la namna hiyo! lile la Mwanza ni viaduct yenye urefu wa 1.4 km treni inapita juu.
View attachment 2838438
Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa. Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR.
Daraja hili la juu linayaacha kiasi fulani majiji mengine Arrika mashariki kwa kupata daraja hili la juu. Baadhi ya majiji hayo ni Mbeya, Tanga, Arusha, Kigali Rwanda, Bujumbura, Dodoma, Kisumu nk.
Mkuu kama una makoneksheni ya kuingia hapo nitujuzane mkuu.View attachment 2838438
Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa. Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR.
Daraja hili la juu linayaacha kiasi fulani majiji mengine Arrika mashariki kwa kupata daraja hili la juu. Baadhi ya majiji hayo ni Mbeya, Tanga, Arusha, Kigali Rwanda, Bujumbura, Dodoma, Kisumu nk.
Wendawazimu haoNyie ni vichaa mnalinganisha bara bara ya juu ya zaid ya KM 1 na huo uchafu hapo
Ndio hilo hapo pichani?..... kawaida tuView attachment 2838438
Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa. Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR.
Daraja hili la juu linayaacha kiasi fulani majiji mengine Arrika mashariki kwa kupata daraja hili la juu. Baadhi ya majiji hayo ni Mbeya, Tanga, Arusha, Kigali Rwanda, Bujumbura, Dodoma, Kisumu nk.
Hapo ndio mwanzo wa daraja na ndio wameanza kuweka hizo beam! daraja ni refu la 1.4 kmNdio hilo hapo pichani?..... kawaida tu
Mkuu unajua maana ya daraja?Hapo ndio mwanzo wa daraja na ndio wameanza kuweka hizo beam! daraja ni refu la 1.4 km
Sijui hii njia inatakuje, hasa kutokea mjini hadi maeneo ya nyegezi kona.Kwa maana ya kuongeza njia nne?
Acha ujuaji basi umeshafika pale ukaona?Mkuu unajua maana ya daraja?
Unazungumzia nini hapa?
Soma kichwa cha mada yako na maelezo ya mada yako halafu rudia upya kuja kutetea.
Yaani SGR wanajenga tuta la kupitisha reli yao mjini wewe unasema ni daraja la treni, how?
nitasema amesitisha miradi aliyoiacha BabaUnamsifia magufuli badala umsifie mama!!. Mama akisitisha miradi aliyoiacha magufuli je! Utasemaje?
Hapo ni mwanzo wa daraja na ndio wameanza kuweka hizo beam.Ndio hilo hapo pichani?..... kawaida tu
Sijui ni Tanga ipi unayoizungumzia. Yapo madaraja kwa mfano gari zinapita juu, reli inapita chini inayoelekea/ kutoka bandarini, na jingine reli ya Tanga - Korogwe inapita juu, lami inapita chini maeneo ya Hale, ni kijijini sio mjini. Haya yako tangu enzi za ukoloni!View attachment 2838438
Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa. Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR.
Daraja hili la juu linayaacha kiasi fulani majiji mengine Arrika mashariki kwa kupata daraja hili la juu. Baadhi ya majiji hayo ni Mbeya, Tanga, Arusha, Kigali Rwanda, Bujumbura, Dodoma, Kisumu nk.
Hapa ni Mwanza sehemu gan mkuu !? Halafu unatoa wap nguvu ya kumjbu mtu wa mkoa wa Kigoma!? Kigoma v mkoa wa kishamba zaid hapa Tz uktoa Njombe na SimiyuHii barabara ipo pale Mwanza hebu tuonyeshe hiyo ya Kigoma tuone. View attachment 2838795
View attachment 2838438
Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa. Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR.
Daraja hili la juu linayaacha kiasi fulani majiji mengine Arrika mashariki kwa kupata daraja hili la juu. Baadhi ya majiji hayo ni Mbeya, Tanga, Arusha, Kigali Rwanda, Bujumbura, Dodoma, Kisumu nk.
Mwanza inaupiga mwingiii muda si mrefu itaipita hadi DarView attachment 2838438