Yaani she wa soo smart, alikuwa ana kuchapa za usoo, alikuwa anakubishia na facts hata kama ni za mchongo atazinoa to her advantage mpka utaomba poo. Halaf alivyo kuwa anajiamni kwenye majibizano ni as if mtu asiye na cha kupoteza aisee Jadda rudi uokoe jahazi huku 😂😂 ila all in all deep down huwa tunajua kabisa ila ego na ujuaji vinatusumbua..Aisee kama Jadda kaelewa basi kazi kubwa mlifanya kwa kweli mana Mimi nilijaribu Kidogo nikasema huu mziki siuwezi nikakimbia na JF nikawa naogopa kuingia hahahahah
Yes, nilimfanyia reference maana alikuwa hakimbii na hafichi hoja... Anajitetea mpka kieleweke I think she's happily married now. Enjoying y'all who are still defending something you'll never haveJadda sijamuona kitambo, she was great.
Gunner anajua Jadda yuko wapi maana siku mona alimfanyia reference.
Mna vitu in common na Gunner 😂
Elevenn
She was very great and challenging.Jadda sijamuona kitambo, she was great.
Hahahaha gunner na Natafuta ajira ni experties wangu,,, kazi Yao humu inajulikana,, kama Hadi Jadda alielewa basi ni suala la muda Kila mtu ataelewa tuu. Joking 😃Gunner anajua Jadda yuko wapi maana siku mona alimfanyia reference.
Mna vitu in common na Gunner 😂
Elevenn
Unamchokoza binti kiziwi Sasa muache apumzike bn,,, nadhani unalijua balaa lake akija hapa mtakesha... HahhaahhaYes, nilimfanyia reference maana alikuwa hakimbii na hafichi hoja... Anajitetea mpka kieleweke I think she's happily married now. Enjoying y'all who are still defending something you'll never have
Mimi kusema ukweli nikiona tuu Jadda amerudi nakimbia Tena... Maana Ule mziki mnauweza wewe na Natafuta ajira Mimi nilichemsha mapema sana. HahaahahYaani she wa soo smart, alikuwa ana kuchapa za usoo, alikuwa anakubishia na facts hata kama ni za mchongo atazinoa to her advantage mpka utaomba poo. Halaf alivyo kuwa anajiamni kwenye majibizano ni as if mtu asiye na cha kupoteza aisee Jadda rudi uokoe jahazi huku 😂😂 ila all in all deep down huwa tunajua kabisa ila ego na ujuaji vinatusumbua..
Hahahaha huyu huwa tunajuana muda mwingine tunauwa less serious, muda mwingine yaani ni kama tunapandwa mashetani😂Unamchokoza binti kiziwi Sasa muache apumzike bn,,, nadhani unalijua balaa lake akija hapa mtakesha... Hahhaahha
JADDA ni another level yule, hata ukiweka ndani nakupa masaa tu unampa talaka. She's so brainy to the extent atatumia kila kitu anachokijua and she's unapologetic.Mimi kusema ukweli nikiona tuu Jadda amerudi nakimbia Tena... Maana Ule mziki mnauweza wewe na Natafuta ajira Mimi nilichemsha mapema sana. Hahaahah
Ila unajua tofauti ya Jadda na Binti kiziwi mi naona Binti kiziwi yupo more logical alafu yupo more informative and experienced pia Ego ipo Juu balaa. Pia ana skills zake Furani hivi ambazo nyengine ni kama manipulation skills hivi hazieleweki vizuri hahahahahJADDA ni another level yule, hata ukiweka ndani nakupa masaa tu unampa talaka. She's so brainy to the extent atatumia kila kitu anachokijua and she's unapologetic.
. Kuna siku jamaa mmoja alimuuliza kama kashawahi kuwa kwenye mahusiano? 😂 Wengine wakamuuliza kama ni jike kweli..
Ila alikuwa na ego ya kipekee sana yule.. Akirudi tunakiwasha tu hamna namna.
Jadda anawezana na Zemanda. Mimi nilikua nareply comments zake mbili tatu halafu nampa ushindi wa mezani basi anamaindi kinoma maana anapenda sana ligiAisee kama Jadda kaelewa basi kazi kubwa mlifanya kwa kweli mana Mimi nilijaribu Kidogo nikasema huu mziki siuwezi nikakimbia na JF nikawa naogopa kuingia hahahahah
Halafu kweli atakua ameshaolewa. Maana mafeminist wengi kelele zao huwa ni kisirani tu cha kukosa mume.Yes, nilimfanyia reference maana alikuwa hakimbii na hafichi hoja... Anajitetea mpka kieleweke I think she's happily married now. Enjoying y'all who are still defending something you'll never have
Binti kiziwi ana emotional maturity ndo kinacho msaidia anaweza Ku recover mapema na akabaki njia kuu.. I like that about herIla unajua tofauti ya Jadda na Binti kiziwi mi naona Binti kiziwi yupo more logical alafu yupo more informative and experienced pia Ego ipo Juu balaa. Pia ana skills zake Furani hivi ambazo nyengine ni kama manipulation skills hivi hazieleweki vizuri hahahahah
Shida ya Jadda ni kwamba mda Mwengine yeye ni wale afe kipa afe beki ushindi lazima urudi nyumbani so kuna muda anaongea vitu vya mchongo mchongo sana hahahahahhhaha
Hahahaha aisee yumo humu lakini huenda anatuchora kuna siku uzi ule wa members wanawake wa kale niliona amecomment kuleHalafu kweli atakua ameshaolewa. Maana mafeminist wengi kelele zao huwa ni kisirani tu cha kukosa mume.
Sikuzote namshangaa binadamu anayeabudu itikadi huku akipuuzia nature. Nature ina namna yake ya kumnyenyekeza binadamu anayeabudu utopia.Mimi huwa nina usemi wangu kuwa nature haidanganyi... We all know that at the end of the day nini kitatokea ila kwa sababu binadamu ni wabishi sana, huwa wanajifariji na man made ideologies. Na psychological indoctrination.. Wazungu wenyewe kule wamesha anza kuona madhara ya ufeminism, na wanawake wako so disciplined kwenye kulet mwanaume achukue maamuzi because he's naturally made to control sasa.. Kama kawaida yenu wamatumbi huwa mnachelewa ku catch up mnakuja kugundua baadae..
All in all
Kila mtu ashinde mechi zake.
Ameshaamua kuwa puuza. Yuko buzzy na mambo yake.Aisee Yule mdada sijui mmama ni hatari hahahahah Kuna Uzi ilikuwa anaqoute gazeti lefu na hata uandike Nini atarudi na mashambulizi kama vile yale ya Iran na Marekani... Nimeshangaa Kwenye nyuzi kama hizi sioni comment yake!!!!
Daah umenikumbusha mbali,, daah hivi brother Zemanda nae yupo??Jadda anawezana na Zemanda. Mimi nilikua nareply comments zake mbili tatu halafu nampa ushindi wa mezani basi anamaindi kinoma maana anapenda sana ligi
Inawezekana hiko unachosema kikawa kweli.Ameshaamua kuwa puuza. Yuko buzzy na mambo yake.
Ndipo mnapofeli, yule hakua anapingana na nyie kisa hajaolewa, au kuwa alihitaji mume, hapanaa.Inawezekana hiko unachosema kikawa kweli.
Lakini pia inawezekana ni kwa sababu amekwisha elewa hoja za Natafuta ajira au ameshapata mume ametulia kisirani kimeisha.