Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Sikuzote namshangaa binadamu anayeabudu itikadi huku akipuuzia nature. Nature ina namna yake ya kumnyenyekeza binadamu anayeabudu utopia.
Mother nature haangalii unajua nini yeye anaangalia kuna imbalance gani then analeta balance. Iwe unajua haujui.
 
Achaaa ule ukimwi ni nomaaa uliondoa mtaa wetu siutaji pale upo wilaya ya kinondoni watu wengi sana...ponea ponea sisi ndo tulikua tunakua kua na uzuri watoto wa zamani tulikua na maadili yani kukuta mtoto wa primary ana date au anajihusisha na ngono ilikua nadra sana la sivyo tungepeperushwa nao...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… yani unamuona mtu vile anachange mpaka anabaki mfupa....daaah sio poa
 
Katika kukua kwangu sikuwahi kuona mtu ana kufa kwa ngoma
 
Aisee, mm nilikuwa nasikia stori tuu
Ilikuwa miaka ipi hiyoo?
Miaka ya 2005 kushuka chini... wewe wa kuzaliwa elfu 2000 ulikua mdogo huwezi kujua...ila miakq ya 90 huko ndo ilikuq kimbembe huko sasa na sie tulisimuliwa...ila huo wa elfu mbili una akili unaona kabisa halafu kulikuwa na sinema uwanjani za kuhusu ukimwi
 
Hivi unadhanigi kuwa mm mdogo eeh?
Mwaka 2005 nilikuwa tayari kijana mkubwa tuu na ukimwi ulikuwa umekithiri sana sema nilikulia geti kali... Mshua alituhasa sana kuhusu ukimwi tulikuwa tu naangalia lile tangazo la ITV yule mwamba mwenye kufuki la chuma(chupi)
 
🀣🀣
 
Daa, zile zilikuwa zama za giza nene aisee linapokuja suala la hili gonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…