Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 783
- 1,211
Yah kweli kuna Kaka zangu wao walikua hawana pesa za kiingilio kwahiyo walikua wanazamia kwa kupenye juu ya paa na kutokea chooni.Mtoa mada una akili sana!
Mwanamke ni mtu mwerevu!
Mwanamke ni bingwa wa kujificha kwa mazingira "Camouflage"!
Fear women.
Nje ya mada; Umetaja Silent inn, menikumbusha kitambo around 2001-2005 nikiwa sekondari, kilikuwa ni bonge la kiwanja, mambo Isidingo; mademu nusu uchi fegi mdomoni. Watu walikuwa wakipiga starehe mitaa hiyo, kulikuwa hapo, DDC-Mlimani Park- Survey, Igongwe Mwenge, Kwa macheni Magomeni.
Kwa udogo wetu, sisi tukikuwa tunapita tuu mitaa hiyo kuangalia wakubwa wanavyokula bata, hasa siku zile kulikuwa na matamasha, wasanii na shows. Asubuhi ni pakti za kondomu zimezagaa, vizibo vya bia na sindano za mateja/wala unga. 😊
Note: UKIMWI umepukutisha watu hapo sio poa.
Ndiyo Tabia zao hao na tena wana fosi ndoa yani akili zao za kijinga yani utashangaa umetongoza leo yeye anataka baada ya mwezi mmoja umuoe.Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kufanya ujinga huo wa kuoa kirahisi kihivyo.Ni kweli. Na wakiona siku zinaenda tu wanachokitaka hawakipati,wanahama fasta sana. Yaani huwa wananichekesha sana.
Kuna mmoja alinijia kwa gia ya kuomba ushauri wa kiroho kumbe yupo mawindoni(anawinda Mume). Nilimbloku chap!
Mkuu ARV zilikuwepo Marekani, ARV zilianzia Marekani tokea Mwaka 1995.UKIMWI ni ule ule
Zamani hakukuwa na ARV
Na kuna wale wadada ambao hawaendi kanisani, ila wanakukubali sababu wanaume ambao ndo first choice zao hawaelewekiShida ni kwamba hawaokoki kweli!
😂
Hii code imekuwa wazi sana nadhani tutafute nyingine!
Kuna usemi unasema hivi; ukitaka imani yako itetereke kaa karibu na overly-religious people!
huyu binti kiziwi sio Jadda kweli ?Njee ya mada hivi Yule member Jadda yupo kweli??
Mana mada kama hizi Huwa anamwaga moto sio wa nchi hii hahahaahha
Duh i wish… She’s smart.huyu binti kiziwi sio Jadda kweli ?
Hata wewe ni smart.Duh i wish… She’s smart.