Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Ukiongelea purity unatafuta vita ya tatu, kuna dada alinimind utazani bikra yake niliitoa mimi. Bikra kwa kiasi kukubwa ni solutions ya vitu vingi kwani ni kielelezo cha uaminifu, uvumilivu, heshima na utii ,adabu,hofu ya Mungu,Maadili nk,bikra haina mbadala na kitu chochote kile, likija swala la ndoa. Sema siku hizi wanaume tunawasitiri mabinti tunao waoa na hawalijui na kuliheshimu hili.

Mfano tu ambao juzi mwanangu alinisimulia ana ex wake anajiandaa kuolewa mwezi huu, mahusiano yao na yajua na demu alimwacha mwana,akaenda kwa ex wake baada ya miezi mitano akapigwa chini na kuomba kurudiana na mwana, alibembeleza sana mwana kakaza, mwana alikuwa akimpiga block anabadilisha line, baadae akachoka akawa hapokei simu zake.Demu anaolewa kamuadd jamaa kwenye group la send off, jamaa akaona poa akamwambia atamchangia na kweli akamtumia hela ya mchango wake. Zimebakia wiki mbili, demu analazimisha amletee mwana kadi ya mwaliko kwake mwana anapoishi, wakati anaweza kumtumia kwenye WhatsApp, mpaka hapo kabisa unaona demu anatafuta nini na hapo hujui je ex wake wa mwanzo unaweza kukuta wanawasiliana na binti ana miaka 32.Nilimshauri tu hasiende na amzungushe amwambie amesafiri kikazi.

Si yeye mimi mwenyewe nikuwa added kwenye group la michango la ex wangu na siku hizi kawaida,madem kuwaadd maex wao kwenye magroup ya send off zao.
 
Purity ianzie na kwa mwanaume anayetafuta Bikra, sio mwanaume amechakaza wasichana kibao huko, afu akitaka kuoa anataka akute bikra, itatoka wapi wakati yeye alisha chakaza huko nyuma.
Lol
 
Hahaha, washenzi kweli.
 
Purity ianzie na kwa mwanaume anayetafuta Bikra, sio mwanaume amechakaza wasichana kibao huko, afu akitaka kuoa anataka akute bikra, itatoka wapi wakati yeye alisha chakaza huko nyuma.
Lol
Ni kweli ila bora mwanamke tu ajitunze maana sasa mwanaume yeye akiamua kuacha uhuni hata trace inaweza futika kirahisi.

Mwanamke mara sijui nyonyo zimelala, mara bikira isiwepo, sijui kadi ya clinic ina miscariage, complication nyingi nyingi zinakuwa kama Alert inasema Hey my background ni balaa.
 
Wanaume wote WAPUMBAVU na ma simp hukimbilia kanisani kutafuta wake BORA,waliokua nyuchi za mazoezi za Ma-PLAY BOY😃😆😆
 
Wanaume wote WAPUMBAVU na ma simp hukimbilia kanisani kutafuta wake BORA,waliokua nyuchi za mazoezi za Ma-PLAY BOY😃😆😆
Sio vibaya kuoa mwanamke uliekutana nae kanisani maana hata wanawake wema pia wanaenda kanisani. Ila bila kujali umekutana nae mtaani, kanisani, sijui ameokoka, zingatia past yake. Hawa wanaojifanyia rebranding ni wa kuachana nao kabisa
 
Kwa kweli kimoyomoyo huwa nashindwa kujizuia kucheka!😀
Ila hawajui tu, kuna siri hii dunia haielezeki, sijui inakuaje ila mwanadamu anapobadilika kwa dhati, akaacha uovu ni kama kuna positive energy fulani inakuwa imemzunguka, background haifutiki lakini kuna heshima fulani hivi inajengeka taratibu na in time unashangaa anaheshimika zinabaki tu zile hadithi za kibanadamu za kusengenyana kwa wanaomjua alivyokuwa kabla.

Siyo kwenye umalaya tu, hujawahi kutana na watu walikuwa majambazi wa kutupwa ila leo anakaa kwenye mikutano ya kijiji na ushauri wake unathaminiwa. Inabaki tu ila huyu Jamaa enzi zake....
 
Purity ianzie na kwa mwanaume anayetafuta Bikra, sio mwanaume amechakaza wasichana kibao huko, afu akitaka kuoa anataka akute bikra, itatoka wapi wakati yeye alisha chakaza huko nyuma.
Lol
It's nature na ipo hivyo sio Africa mpak Ulaya sasa hivi kuna watu wanaitwa Passport Bros. Mwanaume hata awe malaya vipi au mlevi anapokuja kufanya maamuzi huwaga anatuliza kichwa kweli,hao binti anaye kutana nae huko batani/malaya,lazima ataopt binti aliye tulia na bikra ni best option kwa mwanaume yoyote duniani.

Halafu bikra ni mali ya mwanamke, ipo chini ya maamuzi ya mwanamke na Mungu kampa akili na utashi imsaidie kwenye kufanya maamuzi yahusianayo na roho na kimwili. Hawashikiwagi bunduki wakati zikitolewa, japo wanadai kwamba wanashawishiwa na wanauume,Okay tufanye kweli wanashawishiwa, hivi leo nikimshawishi binti niliyekutana nae labda hata kwa wiki,anipe laki moja,je atanipa kisa tu nimemshawishi?
 
Haswaaa.Mifano ni mingi akiwemo Mtume Paulo lakini wenzetu hawa hawataki process. Wanataka tit for tat!.

Kuna mmoja alinijia akasema amechoka kuishi peke yake. Anataka Mume!. Sasa Mimi najua kanuni za kiroho za Mungu kumkirimia mtu mema yake, ikiwemo Mume au Mke mwema.

Basi nikamwambia "hili kwa Mungu ni jambo dogo sana cha msingi zingatia 'password' za Mungu nitakazokupa halafu zifanyie kazi". Akaona namchelewesha!. Akaamua ajitafutie Mume kwa njia anazozijua yeye. Akakutana na muhuni,'akamchezea' kisha akapita na akiba ya pesa zake alizokuwa amejiwekea kwa miaka kadhaa(millions). Kwa maelezo ya mdada mwenyewe yule muhuni aliingilia gia ya kutaka kumuoa na akahakikisha mdada wa watu anaamini kabisa kwamba sasa amepata Mume!. Kumbe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bila shaka hawezi kukupa hiyo pesa hata kama anayo, na hii ni ishara ya kwamba wakati wanashawishiwa huwa wanakua na option ya kusema hapana.
 
Unawafungua bongo sana vijana, lakini sikio la kufa...!
 
Uzi mzima hauna wanawake?


It’s okay kupeana codes, lakini ku-shame wanawake for returning to churches mnafanya kazi ya shetani (I wonder kama yall believers)

Kwanza kusema wanawake wote wa umri mkubwa walioko kanisani wanatafuta ndoa ni kauli ya jumla sana, kuna wanaotafuta ndoa wakidhani wamelogwa, kuna walioolewa siku nyingi ndoa zinawasumbua wanaziombea, kuna wanaoombea familia, kuna wanaaombea biashara, kuna wanaowakilisha familia (familia ipate uwakilisho kanisani ili wakati wa kuzika kisiwarambe) Kuna ambao wanaenda kanisani maisha yao yote, some of us tumebatizwa kanisani kwa walokole by age of 11. etc etc Kwa umri wangu ukinikuta kanisani ukanisingizia niko kanisani sababu natafuta ndoa ntakulamba makofi ukamuhadithie shetani 🤣


Kanisa /makanisa yamekuwa na wateja wengi wanawake wa kila rika, by numbers wanawake ndio tunaongoza kwa kwenda kanisani.

Mzigo wa kuomba/kuombea ndoa, familia, biashara etc tumeubeba wanawake for so long , shaming women of any age kwa kushinda makanisani ikiwa hamjui sababu zao za kushinda makanisani it’s so creepy!
 
Akaona unamchelewesha hahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…