Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Day...Kama uko viap...sema woyooooooo..nikumark[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
3-0 TMK...Sasa walevi woooote wa dsm tayari wameandaa makoo yao kwa ajili ya nusu bei. Wakiongozwa na huyu jamaa
IMG-20190324-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la Heri Uganda na Lesotho
Kila la Heri Timu Yangu Pendwa Ya Taifa Stars

Wasiotutakia Kheri Watanzania Wakatafute Nchi Nyengine Wakaishi! Pumbav zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baki huko huko Uganda.


The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Hahahaha pacha usichanganyikiwe subiri dakika 90 tusherekeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa pachaa[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]


The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Back
Top Bottom