Kinaxhoendelea leo ni dhahiri kwamba kama taifa tunaweza kufanya chochote tukiamua. Leo hii naiona Tanzania iliyoungana kisawasawa kama taifa. Nimatumaini yangu kuwa siku zijazo tutaendelea kuwa hivi hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeshaanza kunywa bia za Makonda - bei imeshuka.......nusu ya bei...hata Mimi Mpemba leo nakunywa....Baadae ya miaka 39 hatimaye tumefuzu kucheza Afcon.
Wale wote mliokuwa mnaombea timu YENU mabaya shame on you
mfuatilie vizuri, utalia!.....
Wale wa kidebe wote uwanjani.... Wanaziokota tu... [emoji1241][emoji1241][emoji1241]Tusheherekee big achievement
Hahahhahhahaa embu acha kwanza hizo kuanzia kesho hela zipo mitaani!!!!!Kwa ushindi huu mkubwa leo hii tumepanda kwa nchi zenye watu wenye furaha duniani toka 153 hadi 25 [emoji12]. Kichaa akifungua kinywa chake tunaanguka tena hadi 154 [emoji1431] Hii ni kwa wiki mbili tu.
Woyooooooooooooo!!!! Viva TZ TZ.
Huuuuuuurahhhh TZ TZ.
Uwiiiiiiiiiiiiiiii, keleuwiiiiiiiiiiiii!!!!!![emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Aaaai mamaaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23]haters bado mnapumua.?????????.
Viva la Vida Taifa star. Viva TZ TZ.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Timu ni nyingi mkuu, zilikuwa zikichukuliwa 16, sasa hivi ni 24 zinaendaHow diluted?
Hawajauza ila kila mchezaji wa taifa walihaidiwa milioni kumi kila mmoja kama watashinda,wakapewa motisha
Tuanze kukusanya nauli mpwa ya kwenda misri [emoji28][emoji28][emoji28]Hongera sana kwako pia hapa nina tabasamu la nguvu.
Piga kelele basi kama ni mzalendo sema woyoooooooooooooooooo!!! Japo dua limekataaa hahahhahahahha!!!Mimi mzalendo mkuu