G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Hii ni shida.kuhamasika huku wangekua nako kwenye kutafuta maisha kwa bidii na umoja bila majungu,unafiki na mauchawi tungekua mbali sana,wanawezaje kujaa uwanjani na kuhamasishana na wakashindwa kifanya kazi kwa bidii na umoja
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Kinaxhoendelea leo ni dhahiri kwamba kama taifa tunaweza kufanya chochote tukiamua. Leo hii naiona Tanzania iliyoungana kisawasawa kama taifa. Nimatumaini yangu kuwa siku zijazo tutaendelea kuwa hivi hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature