Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Hii ni shida.kuhamasika huku wangekua nako kwenye kutafuta maisha kwa bidii na umoja bila majungu,unafiki na mauchawi tungekua mbali sana,wanawezaje kujaa uwanjani na kuhamasishana na wakashindwa kifanya kazi kwa bidii na umoja
Kinaxhoendelea leo ni dhahiri kwamba kama taifa tunaweza kufanya chochote tukiamua. Leo hii naiona Tanzania iliyoungana kisawasawa kama taifa. Nimatumaini yangu kuwa siku zijazo tutaendelea kuwa hivi hivi

Sent using Jamii Forums mobile app

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Baadae ya miaka 39 hatimaye tumefuzu kucheza Afcon.
Wale wote mliokuwa mnaombea timu YENU mabaya shame on you
Tumeshaanza kunywa bia za Makonda - bei imeshuka.......nusu ya bei...hata Mimi Mpemba leo nakunywa....
 
Haikuwepo ukelele wa SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA! Nauliza tu
 
Woyooooooo!!! Tz hiyo ndani ya Afcon 2019 hongereni wote mliofanikisha hili na aibu kwenu nyie wasaliti. Stars hoyeeeeeeee, Tz hoyeeeeeeeeeeee Afcon 2019 zamu yetu!!!
 
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kesho ni mapumziko ya kitaifa kusherehekea ushindi😂😂😂
 
VIVAAAAAAAA Tanzania na Taifa Stars nchi yetu tunaipenda sana basi tu.

Woyooooooooooooo!!!! Viva TZ TZ.
Huuuuuuurahhhh TZ TZ.
Uwiiiiiiiiiiiiiiii, keleuwiiiiiiiiiiiii!!!!!![emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Aaaai mamaaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23]haters bado mnapumua.?????????.

Viva la Vida Taifa star. Viva TZ TZ.


The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Back
Top Bottom