Umeona eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]akaongeza bei by 50%
HahahahaKama tuliweza kumpiga iddi amini unafikiri tungeshindwa kuwapiga watoto wake
Sent using unknown device
๐ช๐ช๐ช๐ชKama tuliweza kumpiga iddi amini unafikiri tungeshindwa kuwapiga watoto wake
Sent using unknown device
Timu mbili kupita ni standardTimu ni nyingi mkuu, zilikuwa zikichukuliwa 16, sasa hivi ni 24 zinaenda
Piga kelele basi kama ni mzalendo sema woyoooooooooooooooooo!!! Japo dua limekataaa hahahhahahahha!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha pacha unaua!!!!!!!!!!Furaha niliyonayo nisipo vua nguo sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaniiiiii yeleuwiiiiiiii, kiruuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Najionea taaaaaaabu Ku reply๐ค๐ค๐ค
Pole,huku payroll tayari ishasoma kitambo...Kama vipi jongea pande hizi hautajutia..
Mkuu unateseka kweli wewe!Ionekane mazungumzo marangapi.match iliisha kabla haijaanza
Kamwambie Mzee wetu Mwinyi sisi siyo tena vichwa vya wendawazimu !!!!!!Hahahahahahahaha sawa nimekusikia everlenk sirudii tena [emoji41]
AFCON za zama hizi mpaka Rwanda wamo!
Nimejua kufurahi leo pacha. Daaaaaaahhhhhhhhhh
๐ช๐ช๐ช๐ช๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟMarch 24, 2019
Tanzania yafuzu AFCON 2019
TANZANIA 3 - 0 UGANDA
Tanzania qualifies for AFCON 2019 after beating Uganda 3 nil at Benjamin Mkapa stadium in Dar es Salaam, Tanzania.
Source : Haroub TV
Kamwambie Mzee wetu Mwinyi sisi siyo tena vichwa vya wendawazimu !!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app