Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Nisiwe mnafki ..

Kwa maslahi mapana ya taifa hili kimataifa ni vyema tufungwe na Uganda ili kuepukana na aibu pamoja na fedheha hapo mwakani AfCON

Miaka michache iliyopita tulifungwa 7 kwa 0 na hakukuwepo na jitihada zozote za kuridhisha ili kuzuia tukio kama hilo lisitokee tena
Mawazo mabaya sana haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilianza simba tarehe 16 march ilivunja record ambayo mara ya mwisho ilikua miaka ya 80s

Leo taifa stars imevunja record ambayo kwa mara ya mwisho ilikua miaka ya80s

Nategemea simba kuweka record mpya ikikutana na mazembe

Sent using unknown device
 
Kwa jinsi takwimu zinavyoendelea vizuri ,AFCON ikifanyika ‭ uwanja wa Benjamin Mkapa Tanzania itachukua kombe la Africa 😁 hatoki mtu hata Misri bingwa wa kihistoria.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baki huko huko Uganda.


The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.

Mimi Mtanzania Halisi niende Uganda Nikafanyeje?
Mimi ni Mzalendo wa Taifa langu niache nisherehekee ushindi
 
Kwa ushindi huu mkubwa leo hii tumepanda kwa nchi zenye watu wenye furaha duniani toka 153 hadi 25 😜. Kichaa akifungua kinywa chake tunaanguka tena hadi 154 🙏🏽 Hii ni kwa wiki mbili tu.
ahahaa! kabisa mkuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom