Mliopo karibu na Raisi wetu wa Dar mwambieni wahudumu wanagoma kutuuzia bia kwa nusu bei tufanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mliopo karibu na Raisi wetu wa Dar mwambieni wahudumu wanagoma kutuuzia bia kwa nusu bei tufanyeje?
Wanaudhi sana hawa kenge.....taifa stars siyo ya babako ni timu ya watanzania...CCM tafadhalini msiingize siasa kwenye Mpira, mnatukera sanaView attachment 1053143
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kwa taarifa yako na Burundi ya Nkurunziza imo!AFCON za zama hizi mpaka Rwanda wamo!
Yaaani rahaaaaaaaaaaaaaaaaa yaani sijui nifananishe na nini?Nimejua kufurahi leo pacha. Daaaaaaahhhhhhhhhh
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Wabaya wenu bado ni CHADEMA sio ACT, chama kikuu cha upinzani kwa sasa
Maybe🤗🤗🤗🤗Bando eh! 🤗🤗🤗
CCM tafadhalini msiingize siasa kwenye Mpira, mnatukera sanaView attachment 1053143
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kuna mshenzi mmoja ana jina la kikenya Wanjiru alikuwa anaongea uharo sana kabla ya mechi. Sijui sasa ana hali gani?Hata kama una tofauti zako binafsi UTAIFA kwanza. Ushindi huu ni watanzania wote.Wanaudhi sana hawa kenge.....taifa stars siyo ya babako ni timu ya watanzania...
Mawazo mabaya sana hayaNisiwe mnafki ..
Kwa maslahi mapana ya taifa hili kimataifa ni vyema tufungwe na Uganda ili kuepukana na aibu pamoja na fedheha hapo mwakani AfCON
Miaka michache iliyopita tulifungwa 7 kwa 0 na hakukuwepo na jitihada zozote za kuridhisha ili kuzuia tukio kama hilo lisitokee tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi nimecheka kwa sauti, hao hawana hiyo taarifa, nenda baa nyingine. Huku mtaani mangi mwenyewe anasema soda zimeishaMliopo karibu na Raisi wetu wa Dar mwambieni wahudumu wanagoma kutuuzia bia kwa nusu bei tufanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baki huko huko Uganda.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
ahahaa! kabisa mkuuKwa ushindi huu mkubwa leo hii tumepanda kwa nchi zenye watu wenye furaha duniani toka 153 hadi 25 😜. Kichaa akifungua kinywa chake tunaanguka tena hadi 154 🙏🏽 Hii ni kwa wiki mbili tu.
Well doneNyie hater's wa Stars kisa itikadi za kisiasa. Watanzania wenzenu wamewasamehe ila inabidii mjitathmini na mbadilike.