Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Naombeni uthibitisho ili niendeleze bata!
Mechi ilipangwa, waganda walikuwa hawana cha kupoteza, Museven mwenyewe mechi ya kwanza alifurahi kwa droo na kusema timu zote ni za nyumbani. Ingekuwa kwenya ungejua ujirani ukoje.Hata wakituachia goli 50 Uganda anaongoza kundi keshapita hana cha kupoteza after all ni majirani zetu nadhani unajua hata museveni siku tunacheza pale Kampala alisema hataki Uganda ishinde wala stars kwakua zote ni timu zake.hujapata picha tu
Pumbavu kabisa wewe!
Yaani bado mbishi tuWeeeee jamaa wewe siyo bure utakuwa Mganda!!! Acha kuwapa watu presha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana Jf,
Maendeleo hayana chama ndio ninachoweza kusema kilichotokea kwenye mpira Leo
Shukrani kwa mheshimiwa Makonda pia kwa uhamasishaji,
Rais magufuli wengi walijaribu lakini yeye ameweza ,aliwekeza kwa kocha, matunda yanaonekana
Kuna watu waliombea tufungwe lakini tumeshinda Kama watanzania
Chuki kwa viongozi hazitujengi, Tupongeza yanapofanyika mema
Lesothi kapambana ila ngoma imekataaa, ila kwetu ni tofauti,
Kwahiyo na Lesotho nao tuliwapanga!!!!!Mechi ilipangwa, waganda walikuwa hawana cha kupoteza, Museven mwenyewe mechi ya kwanza alifurahi kwa droo na kusema timu zote ni za nyumbani. Ingekuwa kwenya ungejua ujirani ukoje.
Mm naioenda stars ila natokeo yetu ni ya ujirani mwema.
Wewe mwalimu wawapi ambaye umepewa ruhusa ya kufundisha watu jf?Magufuri- Magufuli
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ana mwenzie alisema atakunya kinachosikitisha tupo tumejipanga barabarani kushuhudia tukio lake muhimuRoho ya korosho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa Sasa anaona aibu
Hongera Sana CCM, zile Noah hata msipoleta tena View attachment 1053132View attachment 1053133
Sent using Jamii Forums mobile app