Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Wabongo mnaongea sana. Unapima ujazo wa uwanja kwa macho?
 
Uwanja umejaa na takribani watu 20,000 wapo nje. Mabomu ya machozi yamekuwa yakirindima sporadically. Watu wamekata ticket za Tshs.10,000 lakini nafasi ndani hakuna
 
Bado sijaona ushindani thabiti, mchezo bado umepooza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…