RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Wabongo mnaongea sana. Unapima ujazo wa uwanja kwa macho?Hapa taifa watu ni wengi sana haijawahi kutokea,kusema ukweli unaweza kuhisi kiingilio ni bure. Kama wote wataingia ndani uwanja HAUTOSHI KABISA HATA KWA MACHO TU UNAONA.
TFF kama mmeuza tiketi zaidi ya 60k jiandaeni kama kuna janga kitatokea. Bado lisaa tu lakini watu wengi sana.
Taifa stars pigeni mpira mashabiki warudi na furaha... Asante
Mwenye updates tunaomba tuweke hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app