Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

hA
Hayo ndiyo madhara ya kutojiamini. Kama wewe hujiamini wengine wanajiamini sana tu. Kufungwa ni bahati mbaya hakuna timu inayokwenda kwenye mashindano ili ifungwe!
 
Hatimae baada ya miaka 39 tumefanikiwa kufuzu.

Maandalizi ya fainali za AFCON za hapo juni yaanze sasa na tusiweke siasa ndani yake.

Hongereni sana wachezaji kwa kupambana!
 
Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi hasa chadema kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?

Asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo

Asante kasi ya Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mteule aombewe tena???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hatuna huo muda kwa kweli.


The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
😃😃wataandamana kumpongeza kwa ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…