Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli aseeh yaani assist zake very professional jamaa now kachangeBocco game za club bingwa zimemfanya awe moto maana mara nyingi huwa anakosa kosa so siku hizi ni mzee wa ku assist tu wayaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tabia ya kishamba ya mashabiki kufanya vandalism kwenye uwanja wa taifa ikomeshwe kwa nguvu zote hata za kijeshi. Miaka ya majuzi tu, mashabiki walivunja viti baada ya timu yao kufungwa. Vijana tujifunze kuwa wastaarabu wa kutunza kiwanja chetu kidumu miaka mingi ijayo; tumejengewa na wacjina kwa mkopo ambao tutalipia kwa muda mrefu sana. Tusivuje kiwanja hicho tukabaki na deni la kulipa wakati kiwanja kimeshakongoroka!!UPDATES:
Mashabiki wamevunja geti upande uwanja wa Uhuru na NBSP kuingia kwa nguvu kwenye Uwanja wa Taifa kushuhudia mechi ya Taifa Stars na Uganda.
Kabsaaa mkuuAhahaaaah...
Acha mambo yako Kiongozi..!
Wewe itakuwa Babu, ulishuhudia Afcon ya mwaka 1980 katika awamu ya kwanzaSijui kama tunafahamu huko tuendako.
Kwa kiwango tulichonacho, sidhani hapo ktk makundi kuna timu size yetu.
Tutaambulia goli za kutosha kutokana na timu yetu kuwa mbovu mbali na uwanja wa taifa na hii sio timu ya taifa tu bali hata vilabu.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Umesahau alichangia 50m wewe umechangia nn mpaka ukereke?Nakereka sana kila naposikia kila kiongozi anazungumza kuhusu hii mechi ya Taifa stars na Uganda akinza kwa kumpongeza rais wetu mpendwa Magufuli.
Nachojiuliza Magufuli anapewa pongezi ya kazi gani? Kati ya Magufuli na mashabiki na wachezaji ni nani wa kwanza kupewa pongezi?
Huu ni ujinga wapeni pongezi wachezaji na mashabiki kwa kufika na kucheza vizuri Magufuli hana hata chembe ya pongezi kwenye mchezo huu... Bora hata Makonda alikua kwenye kamati na kiki zake za msimu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera WACHEZAJI na Mwalimu
Kaliwe tigokamati kwani ilicheza?