Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Tutaangalia consistency ndipo tutajua ni big brain au zero brain

Sent using Boeing 737-MAX 8
 
UPDATES:
Mashabiki wamevunja geti upande uwanja wa Uhuru na NBSP kuingia kwa nguvu kwenye Uwanja wa Taifa kushuhudia mechi ya Taifa Stars na Uganda.
Hii tabia ya kishamba ya mashabiki kufanya vandalism kwenye uwanja wa taifa ikomeshwe kwa nguvu zote hata za kijeshi. Miaka ya majuzi tu, mashabiki walivunja viti baada ya timu yao kufungwa. Vijana tujifunze kuwa wastaarabu wa kutunza kiwanja chetu kidumu miaka mingi ijayo; tumejengewa na wacjina kwa mkopo ambao tutalipia kwa muda mrefu sana. Tusivuje kiwanja hicho tukabaki na deni la kulipa wakati kiwanja kimeshakongoroka!!
 
Hivi hata Simba kuifunga Nkana na Vita huyo Makonda ndiye alihamasisha watu kujaa uwanjani?
 
#AFCON2019NiZamuYetu
v1 (1).jpeg
 
Sijui kama tunafahamu huko tuendako.
Kwa kiwango tulichonacho, sidhani hapo ktk makundi kuna timu size yetu.

Tutaambulia goli za kutosha kutokana na timu yetu kuwa mbovu mbali na uwanja wa taifa na hii sio timu ya taifa tu bali hata vilabu.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Pongezi kwa Stars ....hatimaye Mzee Mwinyi yupo kuona kile kichwa cha mwendawazimu kikipona uwendawazimu na kuwa timamu.
 
Sijui kama tunafahamu huko tuendako.
Kwa kiwango tulichonacho, sidhani hapo ktk makundi kuna timu size yetu.

Tutaambulia goli za kutosha kutokana na timu yetu kuwa mbovu mbali na uwanja wa taifa na hii sio timu ya taifa tu bali hata vilabu.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Wewe itakuwa Babu, ulishuhudia Afcon ya mwaka 1980 katika awamu ya kwanza

Ulikuwa na TV mzee mwaka 1980

Nonsense
 
Nakereka sana kila naposikia kila kiongozi anazungumza kuhusu hii mechi ya Taifa stars na Uganda akinza kwa kumpongeza rais wetu mpendwa Magufuli.
Nachojiuliza Magufuli anapewa pongezi ya kazi gani? Kati ya Magufuli na mashabiki na wachezaji ni nani wa kwanza kupewa pongezi?
Huu ni ujinga wapeni pongezi wachezaji na mashabiki kwa kufika na kucheza vizuri Magufuli hana hata chembe ya pongezi kwenye mchezo huu... Bora hata Makonda alikua kwenye kamati na kiki zake za msimu...


Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau alichangia 50m wewe umechangia nn mpaka ukereke?
 
Hongera WACHEZAJI na Mwalimu

Hongera zote kwa 100% ziwaendee Wachezaji hasa walofunga magoli bila kumsahau Kocha wao......!
Hizi hongera kwa Makonda ni UNAFIKI,UBAZAZI na kutaka Wanasiasa KUJITAFUTIA UMAARUFU usio na tija kwa Taifa na sanasana ni kuwagawa Watz.
CCM acheni hizi cheap politics.....mmezidi sana.Akifa mtu au ikishinda timu mnatumia kujitangaza..!Pambaf zenyu.
 
Back
Top Bottom