Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Katika mambo waTz tunaweza sana ni unafiki na kujipendekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu mnajua kukera? Kweli sifa ni kwa rais na ccm? Au furaha yako ni kuudhi wengine?
Ongera sana raisi wangu, umenitokea kunikosha sana kuona Timu inacheza vizuri, mungu akupe maisha marefu john Joseph pombe magufuri, ongera ccm kwa kazi nzuri mlioifanya taifa mpaka tumeibuka na ushindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Logical unaongea point ila reality ni non sense imagine a person paid 10k or 20k yupo njeee hana matumaini ya kuingia akapate kile alicho lipia mech imeshaamza almost 5-10 min unakuta li ffu limevimbish mashavu ,,utaratibu mbovuu rubbish kabisa ,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini iwapo Taifa Stars na Lesotho zote zitashinda badi Stars inabidi ishinde magoli mengi na kukaa juu ya Lesotho kwenye msimamo wa kundi kwa tofauti ya magoli ya kufungwa na kufunga
Hata kama Stars angefunga magoli 1,000, Lesotho wangeshinda wangesonga mbele kwa sababu ya GD ya Lesotho dhidi ya Tanzania ni 1 na iwapo timu zinafungana point wanaangalia head to head GD. Kwa hiyo usalama wa Tanzania ilikuwa tu Lesotho kutoshinda na ikawa hivyo
 
HA HAH HA HA HA HA HAAAAA!!!!
 
Mimi napenda sana kufuatilia uchezaji wa Bocco tangu Simba imfunge Vita ya Kongo na sasa Taifa Stars kumfunga The Cranes, John Bocco amekuwa so clinical kwenye kutengeneza nafasi. It is so pity tu kwamba anaelekea kuzeeka kisoka. Yaani nimerudi kufuatilia soka la TZ ni kwa sababu ya huyu kijana so creative kama wale wa Big Leagues ulaya. Simba wana kifaa wamtumie vizuri kwa kumpa motisha
 
Watu mnajisifia wakati the cranes wameamua kuacha goli wazi au hamuoni mpira unavyodunda?
Labda kwa magoli Stars walizokosa, lakini kwa hizi walizofunga, wachezaji wamekuwa creative hasa John Bocco na ile penalty aliyoitengengeneza Samatta. Muwage na uzalendo hata kidogo basi
 
Nna mashaka na uraia wako Ithink wewe sio mtanzania kabisaa
 
Line up:
  1. Aishi Manula (Simba),
  2. Feisal Salum (Young Africans),
  3. Hassan Kessey (Nkana, Zambia),
  4. Yahya Zayd (Ismaily, Egypt),
  5. Gadiel Michael (Young Africans),
  6. Himid Mao (Petro jet, Egypt),
  7. Mudathir Yahya (Azam),
  8. Shaban Chilunda (Tenerife, Spain),
  9. Kelvin Yondani (Young Africans),
  10. Shizza Ramadhan (ENPPI, Egypt),
  11. Simon Msuva (Difaa El Jaadid, Morocco),
  12. Rashid Mandawa (BDF XI, Botswana),
  13. Mbwana Samatta (KRC Genk, Belgium),
  14. Jonas Mkude (Simba),
  15. Thomas Ulimwengu (JS Soura, Algeria),
  16. Mechata Mnata (Mbao FC),
  17. Aron Kalambo (Prisons),
  18. Suleiman Salula (Malindi, Zanzibar),
  19. Vincent Philipo (Mbao),
  20. Ally Mtoni (Lipuli FC),
  21. Andrew Vincent (Young Africans),
  22. Kennedy Wilson (Singinda),
  23. Aggrey Morris (Azam),
  24. John Bocco (Simba) and
  25. Farid Musa (Tenerife, Spain)
 
DSTV walionyesha vizuri kupitia SS9 na nafikiri pia app yao ilikuwa inaonyesha vizuri. Hii tabia ya kutegemea TBC1 ambao hawajali watanzania kwa kuua vision yao kwa picha mbovu muwachage
 
hA

Hayo ndiyo madhara ya kutojiamini. Kama wewe hujiamini wengine wanajiamini sana tu. Kufungwa ni bahati mbaya hakuna timu inayokwenda kwenye mashindano ili ifungwe!
Hata Brazil 2014 ilibugizwa 7-0 na Ujerumani
 
Hongera hizo si kwa Makonda au mpenda sifa mwingine yeyote bali ni kwa wachezaji na kocha wao tu kwa jitihada zao zilizoiletea Tanzania sifa kubwa. We are all proud of them. Waganda walicheza kukamilisha ratiba walikuwa wameshafuzu. Kaeni chonjo mtakutana nao Misri bila wapenda sifa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kiongozi wa Kanisa la Mitume na Manabii Mchungaji Daudi Mashimo amesema amepokea maono kuwa licha ya maandalizi makubwa yaliyofanywa Taifa stars itafungwa na Uganda katika mechi ya leo. Amesema anafanya maombi maalumu kabla ya mechi hiyo kuanza ili kumuomba Mungu abatilishe maono hayo. Amewataka watanzania wamtumie sadaka ili apate nguvu ya kuendelea na maombi.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…