Serikali ya ccm pasua kichwa sana,waliahidi taifa stars ikishinda beer zitauzwa nusu bei, chaajabu taifa stars imeshinda na hakuna beer nusu bei wala soda,Lumumba wameingia mitini eti muda huu ndio wanasema nusu bei IPO Serena hotel,sasa Serena si wanauza beer 10000 inamaana nusu being ni 5000,wale mashabiki walio kosa seat uwanja wa taifa wanata beer wanayo uziwa 2000 iuzwe 1000 sio habari za serena, tunapenda taifa letu tungeenda kushangilia hata bila uongo wenu ccm.
Beer na iheshimiwe sio tawala wala upinzani konda na muro mmetukosea sana wanywaji wa hapa corner bar.