Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Watanzania bwana mtu anashinda kwa juhudi zake sifa inapewa ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za mtu makalio mpauko hizi. Umeoga jana?
 
Kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cape Verde na Equatorial Guinea hawajawa consistency katika viwango vyao vya soka, kuna kipindi walikuwa juu sana, lakini ghafla wameporomoka sana.
 
Hapa jee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongera sana raisi wangu, umenitokea kunikosha sana kuona Timu inacheza vizuri, mungu akupe maisha marefu john Joseph pombe magufuri, ongera ccm kwa kazi nzuri mlioifanya taifa mpaka tumeibuka na ushindi
Hujielewi ndicho ninachoweza kusema. Ccm hapa unaiingizaje ?! Mnaharibu sana kuingiza siasa michezoni . Hata Fifa wanakataa jambo hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha! JK alijitahidi kwa nguvu sana kulisongesha soka letu, halikutikisika kusonga mbele. Awamu hii, blah! Blah! tu kwenye michezo, kaokota dhahabu Kariakooo!

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwezi ukapanda mti leo na kuvuna kesho. Sifa pia zimuendee J.k. hawa wote wamepata motisha tangu kipindi cha J.K
 
Makonda ni ZERO BRAIN uganda walishafuzu ndio maana jana wameweka kikosi cha pili siyo first eleven yao.Waganda wametubeba hakuna cha makonda wala wachezaji wetu.HUO NDIO UKWELI MCHUNGU
Makonda hajawahi fanikiwa lolote anajitahidi kuuza sura ili watu wasahau kesi yake ya kuiba vyeti

Lizaboni
 
Acheni ujinga kuhusisha mafanikio ya kufuzu na siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…