Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Nawapongeza sana wananchi kwa kujitokeza kwa wingi sana. uwanja umefurika sana na watu walio nje ya uwanja niwengi kuliko walio ndani. Hongera kamati ya uhamasishaji.

Simba inalakujifunza kwa kamati ya uhamasishaji kuelekea mechi ya TP Mazembe. Nadhani watafanya kitu wakongo wakimbiane taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…