Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Tz wakaze tu hii game ni yetu, Waganda hawapo serious sana na hii game, tutafute goli la pili tumalize game mapema
 
Badooo dk ngapiiii kwaniiiiiiii
Sipati%20picha.jpeg
 
Mrisho gambo, muige mwenzio basi suala la vinywaji tafadhali sana.
 
Waganda mtashtukiwa sasa daah.mnatuachia sanaa
We jamaa UTAKUA MCHAWI

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Hii mechi ingekuwa tamu kama na uganda nao wangekuwa wanahitaji ushindi ndio wafuzu.
 
Back
Top Bottom