Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Niko bar, television ukutani, nchi 55 inavyoonekana

Uwanja unaonekana kwa mbaliiiii...

Vichezaji vinaonekana kwa mbaliiiiii!

Ikipigwa kona huoni kama imedakwa, imetemwa, imeingia, unasikilizia kelele za uwanjani ndio uelewe

Hivi tatizo ni camera za grade ya chini au ni vipi?

Tukiangalia mechi za Ulaya mbona tunaona uwanja kwa karibu?
 
Wabongo bana, subiri wafungwe jukwaa kimyaaaaaaa. Huu utamaduni unanikera. Piga yowe mwanzo mwisho labda uwe umefungwa 5
 
Jamani nawakumbusha kutokana na kwamba pombe zitakuwa nusu bei,chonde chonde najua leo furaha itawafanya mrelax na kusahau kama kuna UKIMWI. Hivyo nawakumbusha mtumie Condom jamani.
 
Back
Top Bottom