Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Alikuwa mchezaji Wa 12 uwanjani (mshabiki /mhamasishaji)Hivi Makonda alicheza Number ngapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa mchezaji Wa 12 uwanjani (mshabiki /mhamasishaji)Hivi Makonda alicheza Number ngapi ?
Kwenye mpira nagoma na nafanya kiburi kabisa!Ushindi wa goli 3 kwa 0 ilioupata timu ya taifa stars leo dhidi ya Uganda na hivyo kufuzu fainali za kombe la mataifa ya Nchi za African@ AFCON zitakazochezwa Misri mwezi June mwaka huu ni uthibitisho mwingine kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mh Paul Makonda ni hadhina kwa taifa kwenye upangaji na usimamizi wa masuala ya kitaifa.
kwa faida ya wengi ni kwamba Mh Makonda alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya kuiwezesha taifa stars kufuzu AFCON 2019 ambapo pamoja na mambo mengine ilikuwa na jukumu la kushirikiana na Uongozi wa timu kubuni mbinu na mikakati ya kiufundi ndani na nje ya uwanja, bila shaka kwa matokeo yaliyopatikana inahitaji kiburi na husuda na wivu kupinga kwamba hajafanikiwa.
Jukumu lingine kubwa lilikuwa ni kuhamasisha Watanzania kujitokeza kwa wingi uwanjani kuishangilia timu ili kuwapa nguvu na hamasa wachezaji ya kupambana na kushinda. Katika hili la kuhamisha watu kujitokeza tumpe Kongole Makonda kwa niaba ya kamati aliweza kuwaunganisha watu maarufu kutoka tasnia za muziki, filamu, wanamitindo, wanasiasa na kuwaomba kutumia vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhamisha wananchi na matokeo yake yameonekana uwanja ulijaa yaani zaidi ya watu 60,000 walikuwepo taifa.
Kwa kurejea baadhi ya mambo mengine mengi ambayo mhe Makonda amewahi kufanya;-
## kufanikisha kama kusaidia Walimu katika Mkoa wa Dar es salaam kupanda daladala bure,
## kufanikisha upatikanaji wa bima za afya @ toto kadi kwa mamia ya watoto ambao wametelekezwa na wazaz.
## kuwapatia viatu bandia walemavu, kuchangia matibabu ya wagonjwa mbalimbali nje ya Nchi.
## kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi zinazohusu ardhi na kuwasaidia wakina mama hasa wajane waliodhurumiwa Nyumba na mashamba.
## kupanua huduma za kijamii kama vile ujenzi wa hospital Temeke, shule za sekondari na Msingi hivyo kuwawezesha wananchi na wanafunzi wengi kupata huduma.
Makonda ni binadamu pamoja na mafanikio hayo Lukuki aliyofanya katika kipindi kifupi ambacho amekuwa mkuu wa Mkoa yaweza kuwa kuna mapungufu ya hapa na pale amefanya lakini hayaondoi ukweli kwamba amejitanabaisha kuwa ni asset kwa taifa letu.
Nyinyi mlijigawa kitambo sana ndio maana kabla ya mechi dua zilikua ni Tanzania ifungwe. So uliowaona jana uwanjani na waliokuwemo humu ni watanzania ambao mda wote huwa wanawapuuza. Huwa nasema Tanzania ni kubwa zaid ya jf,usijifungie humu ukaja na propaganda zako eti taifa limegawanyika. Majibu umeyaona jana na 2020 somo ni hilihiliHata ungepewa wewe jukumu lile la kuhamasisha ungeshindwa?
Funzo kwa maccm Magufuli akiwa muungwana Taifa linaweza kusimama pamoja kama jana, aache kuwagawa Watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni jinsi Magufuli alivyopambana a rushwa kwenye michezo?Hiyo ni coincidence tu.
1-Kwa Taifa Stars ushindi wetu umetokana kwanza waganda wamesha-qualify hivyo hawakuwa na haja ya ushindi, pili hata kama tungemfunga Uganda magoli 10 na Lesotho angeshinda ingekuwa ushindi wetu ni wa bure tu.
2-Kuhusu Simba SC wa kupewa credit ni Mo Dewji ambaye anaigharamia club na kuhakikisha timu inafanya vizuri.
3-Hassan Mwakinyo kama alivyosema mweyewe ame-struggle kivyake mpaka amefika alipofika.
Tuache kutumia siasa katika michezo, usitake kuwafanya wanamichezo wote ni wanachama wa CCM, unaweza kufanya perfomance yao kuteremka.
Tumeona tu kamati ya uhamasishaji ya Taifa Stars ikiongozwa na baadhi watu wa CCM kuna watanzania walikuwa wakiiombea timu yetu ifungwe.
Kama tunavyosema tusichanganye dini na siasa, hivyo hivyo tusichanganye michezo na siasa.
Kumbe post ya muomba kazi, hakuna namna. Ili uoate kazi, ongeza bidiiOngera sana raisi wangu, umenitokea kunikosha sana kuona Timu inacheza vizuri, mungu akupe maisha marefu john Joseph pombe magufuri, ongera ccm kwa kazi nzuri mlioifanya taifa mpaka tumeibuka na ushindi
hakuna mtu asiependa ushindi na kuweka ka historia cha kutokufungwa mech hata moja sema jana tuliwazidi kila kitu kuanzia uwanjani nje ya uwanja hadi uwanjani wachezaji na hayo ni maneno tu ya kocha na je wangetufunga angesema hvyo?Kamsikilize Chief Coach wa Uganda..alisema wachezaji wake hawakuwa motivated baada ya kuwa walishaqualified.. Bashite hatabaki kuwa Zero..
Hizo 1.5T umetumia ripoti ya zito au CAG?kwani 1.5trilioni zimepotea kipindi cha rais gani?
Kupigana na rushwa ni jukumu letu sote, lakini kama raisi wa nchi ndiye mwenye jukumu la kusimamia kanuni na sheria za katiba ya nchi katika kila jambo ndani ya nchi hii.Huoni jinsi Magufuli alivyopambana a rushwa kwenye michezo?
Akina Malinzi wako wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Defence mechanismCAF wameongeza timu za kushirik AFCON ndo mana tumepita wengi, mbona huyo mtu wako alivyopiga bit ndo tukaenda kufungwa, punguzen kulamba ndala za watawala
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongera sana raisi wangu, umenitokea kunikosha sana kuona Timu inacheza vizuri, mungu akupe maisha marefu john Joseph pombe magufuri, ongera ccm kwa kazi nzuri mlioifanya taifa mpaka tumeibuka na ushindi
usishau na ushindi huu....Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi hasa chadema kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?
Asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo
Asante kasi ya Rais Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa lakini wako juu yetu badoCape Verde na Equatorial Guinea hawajawa consistency katika viwango vyao vya soka, kuna kipindi walikuwa juu sana, lakini ghafla wameporomoka sana.
Time without number, you can read them if you like.Kwani wewe umeshawahi kuandika Kinachomake sense?
Maneno kuntu aliyo nena
Baraka tu awamu ya 5