The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Naona uzi umekuchoma sana,kunywa maji upumzike,Huwa mnatafuta ukubwa fake
Sasa mtu kukengeuka nakujiunga na dini yenu ni habari ya kuleta Uzi.
Watu wanaenda hadi Kwa sangoma na Sangoma yupo kimya Haji kutamba
Kwani hivyo vitu vikitangazwa,wewe vinakuathiri vipi katika maisha yako binafsi?hakuna haja ya kuvikuza hivi visa na kuvitangaza, mnatakiwa muelewe ni mambo ya kawaida
akili ya binadamu ipo flexible, ndo upekee wake
misimamo ya watu inaweza kubadilishwa wakati wowote kwa namna za ajabu, na sio vibaya
tuwaache watu wafuate vile wanavyoona ni kweli kwao
Nenda Kwa Mwamposa Jumapili uone akina Ramadhan, Shaban, Asha wanavo batizwa Kwa wingiNaona uzi umekuchoma sana,kunywa maji upumzike,
Kila mtu yupo huru kuamini anachokiamini,
Kama uliona huu uzi hauna maana,kwanini umeusoma na kuuchangia?
ungepita kimya tu.
Jikite kwenye mada,au anzisha mada yako kuhusu hili,tutakuja kuchangia,Bongo kuna chungaji moja linaitwa mwaipopo lilikimbilia uislam, na sasa linaonekana kituko tu huko. Si ajabu linatamani kurudi lilikotoka ila linaona aibu
Endelea kujifariji,Nenda Kwa Mwamposa Jumapili uone akina Ramadhan, Shaban, Asha wanavo batizwa Kwa wingi
Lakini hakuna mkiristo anajali hayo ni kawaida mno
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasimi.
Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki. roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.
My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?
Kwani nani kakwambia ushangae?Bongo kuna wakristo wengi tena ni wapentekoste walitoka kwenye uislam na maisha yao yanapendeza hakuna wa kushangaa maana kristo ni wa watu wote
Me naonA hiyo ni habari ndogoEndelea kujifariji,
Kwani wao wakitangaza,wewe inakuathiri nini?
Uliza huyu padri katika uothodox roho mtakatifu ni nani? Kwasababu alimuona kabla ya kuingia kwenye Uislamu."roho mtakatifu" katika uislamu ni nani?
Kama unaona ni habari ndogo,ungepita kimya tu ila wanao ona ni habari kubwa wachangie,Me naonA hiyo ni habari ndogo
Ni sawa na kusema Fulani wali
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasimi.
Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki. roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.
My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya upukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?
Mtu kubadili dini na kuhamia dini nyingine hakufanyi kua dini aliyoamia kua ndio dini ya kweli kumbuka huyo ni binadamu tu kama binadamu wengine na mara nyingi binadamu tunaongozwa na hisiaKwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.
Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.
Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.
My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?
View attachment 3185351
Sasa unatumia kigezo gani kusema kwamba dini ilio hama ndo ya ukweli na hakua huko kwasababu ya hisia tu hizo hizo? Tufikie mahara tupokee na kuheshimu maamuzi ya wengine.Mtu kubadili dini na kuhamia dini nyingine hakufanyi kua dini aliyoamia kua ndio dini ya kweli kumbuka huyo ni binadamu tu kama binadamu wengine na mara nyingi binadamu tunaongozwa na hisia
Lengo langu ni kuwaeleza nwacheni kuleta habari ndogo kama hiziKama unaona ni habari ndogo,ungepita kimya tu ila wanao ona ni habari kubwa wachangie,
Hatufanani,unataka wote tuwe kama wewe?
Mbona wapo wengi tu? Muwapokee na tamaduni zao pia...hongereni sana.View attachment 3185387Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.
Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.
Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.
My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?
View attachment 3185351
nisikilize mvunja barafu,Kwani hivyo vitu vikitangazwa,wewe vinakuathiri vipi katika maisha yako binafsi?
JamiiForums is an open forums.