grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Keshaingiziwa za kutosha kwenye akaunti ili ahadae watu! Michezo yote inayochezwa na fedha za mafuta zisizo na kazi hapo middle East inafahamika. Let him go; Kristo analichunga kanisa lake.
hayo majina yasikutishe unaweza kuwa na Jina Rajabu,Ramadhani,Shabani lakini sio Muislam..kuna watu wa Mkoa X unakuta mtu anaitwa Sharif,Juma,Ramadhani Jumapili anaenda kanisaniNenda Kwa Mwamposa Jumapili uone akina Ramadhan, Shaban, Asha wanavo batizwa Kwa wingi
Lakini hakuna mkiristo anajali hayo ni kawaida mno
Hi ni myth kuna rafiki yangu mkuristo nilimuuliza anionyeshe Dini ya ukuristo kwenye Bibilia kakimbia mazima......sasa nikamuuliza utaguata je dini ambayo hata kwenye kitabu anacho amini haipo??Kila mtu ana haki ya kuamini anachoamini..
Lakini haibadilishi kweli.. Ni Yesu Kristo pekee ndio njia kweli na uzima
Kumbe kwenye uislam kuna roho mtakatifuKwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.
Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.
Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.
My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?
View attachment 3185351
Usijejee na kuja na kebehi hapa hata mimi na wewe tunatakiwa tujitafakari tulipo kama ni mahali sahihi? miaka 40 aliyohudumu kwenye kanisa na kuchagua dini ya kiislam mahali sahihi ata mimi na wewe tunatakiwa kupinda goti kujua hasa nini huyu mzee ameona.Ile ahadi ya mabikra 72 peponi imefanya kazi
Roho mtakatifu alimuona kabla ya kuingia Uislamu, acha kukurupuka mkuu.Kumbe kwenye uislam kuna roho mtakatifu
Lazima akimbie.. Ukristo sio dini.. Ukristo ni maisha..Hi ni myth kuna rafiki yangu mkuristo nilimuuliza anionyeshe Dini ya ukuristo kwenye Bibilia kakimbia mazima......sasa nikamuuliza utaguata je dini ambayo hata kwenye kitabu anacho amini haipo??
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.
Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.
Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.
My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?
View attachment 3185351
Huyu roho wa gizaRoho mtakatifu alimuona kabla ya kuingia Uislamu, acha kukurupuka mkuu.
Wasema wewe, sisi waislamu hatujiu masuala ya roho mtakatifu wewe utakua unajua wa giza na wa kweli.Huyu roho wa giza
Roho mtakatifu alimuona kabla ya kuingia Uislamu, acha kukurupuka mkuu.
Unapotosha au imepitishwa juu ya Roho MtakatifuRoho mtakatifu alimuona kabla ya kuingia Uislamu, acha kukurupuka mkuu.
Kapotea Huyo kutoka njia nyembamba Hadi panaWasema wewe, sisi waislamu hatujiu masuala ya roho mtakatifu wewe utakua unajua wa giza na wa kweli.
Ila ni kwa mtizamo wako, kwasababu hata Mlevi anaona wasio walevi wamepotea hivo hivo.Kapotea Huyo kutoka njia nyembamba Hadi pana
Sijasema huko halipokua ndio dini ya kweli, lakini pia yeye kubadili dini hakufanyi huko alikohamia kua ndio dini ya kweli, kumbuka huyo ni mwanadamu tu.Sasa unatumia kigezo gani kusema kwamba dini ilio hama ndo ya ukweli na hakua huko kwasababu ya hisia tu hizo hizo? Tufikie mahara tupokee na kuheshimu maamuzi ya wengine.
Yaani bado zama hizi za maarifa , vitabu viko wazi bado una mawazo muwa logic ya uislamu ni SANGOMA ?...Huwa mnatafuta ukubwa fake
Sasa mtu kukengeuka nakujiunga na dini yenu ni habari ya kuleta Uzi.
Watu wanaenda hadi Kwa sangoma na Sangoma yupo kimya Haji kutamba