Baada ya miaka 40 akiwa padri mkuu wa kanisa ya orthodox, David Gould, kasilimu

Unateseka mkuu ukiwa wapi Uislamu ni kama reli ya SGR ukiivuta wewe ndo unanguka tu, acha kuingilia uhuru wa watu.
 
ni jambo la kawaida kwa watu wa dini moja kuhamia dini nyingine
 
Wakristo hawapendi kusikia hiyo kitu wanakasirika. Ila ndio hivyo kiongozi wao ameuona ukweli akaufuata.
Ndugu zetu Wakristo someni Quran kabla hamjaondoka hapa duniani. Huko mbele kuna majuto kweli kweli. Fursa ni hii hii moja tu usifanye makosa.

Kumbuka kaburini utaingia mwenyewe na maswali utaulizwa wewe mwenyewe
 
Hili ni jambo la kawaida sana,hasa kwa aliye mfuasi wa yesu na mwenye ufahamu kiasi kuhusu maandiko(biblia) na hasa kuhusu mambo ya nyakati za mwisho.

Katika timotheo anasema"watu watakataa mafundisho ya Imani ya kweli na kujikusanyia walimu makundi makundi watakaofundisha mambo wanayotamani kuyasikia"

If you can't handle curiosity anguko ni suala la muda.
 
Ukishapata neema ya kujazwa roho mtakatifu na ukaijua kweli hata ikitokea ukarudi nyuma basi utaishia kuwa mpagani anayetangatanga.Amini nakwambia ukisha kukionja kipawa Cha roho mtakatifu ni ngumu sana kuwa muislamu.kuna namna unaifahamu kweli kwa kiwango ambacho utaona Bora ubaki mtaani jumapili kuliko ijumaa kwenda msikitini
 
Kuna kitu watu hawajaona .
Dunia ya ujasusi inabadilika sana.
Teknolojia na mbinu za kutafuta top top secrets zimebadilika.

Kuna vita vya kiuchumi inaendelea kuhusu malighafi na masoko ya middle east.hili kulijua linahitaji uwe ni great thinker hasa na unayejua kuunganisha dots.

Angalia mtifuano ulioko kati ya NATO,USA, RUSSIA na CHINA kuhusu malighafi na masoko ya ulaya mashariki,Asia na afrika.
 
Hivi mnajua kama viongozi wengi wa madhehebu makubwa na hata waandamizi wao wako recruited na intelligence societies.

Mimi kuna gut feeling inaniambia hili suala la huyu mtu kubadili dini na akawa safe sio suala la bahati mbaya.

Kwenye geopolitics ni mara chache sana kukutana na coincidence.
 
Acha kutumia moyo unapojadili au kuandika mambo magumu kama haya.kindly I recommend uses of brain
 
Unateseka mkuu ukiwa wapi Uislamu ni kama reli ya SGR ukiivuta wewe ndo unanguka tu, acha kuingilia uhuru wa watu.
Hivi uislamu una roho mtakatifu
 
Hawa jamaa ni rahc sana kuwaoteshea majasusi
 
Tuna habarishana tu, ili tukumbushane kwamba binaadamu wote walizaliwa wakiwa waislamu isipo kua hubadilishwa dini yao ya asiri na wazazi wao, lakini kabla ya kiama wengi watalejea kwenye dini yao ya asili, kwa mjibu wa Qur"an tukufu.
Uislam ni takataka. Dini ya magaidi
 
Huwa mnatafuta ukubwa fake
Sasa mtu kukengeuka nakujiunga na dini yenu ni habari ya kuleta Uzi.
Watu wanaenda hadi Kwa sangoma na Sangoma yupo kimya Haji kutamba
"Utakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi. Na ukaona watu wanaingia katika dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi. Basi mtakase Mwenyezi Mungu kwa kumhimidi, na umuombe msamaha. Hakika Yeye ndiye anaye pokea toba."
 
Uislam ndo dini pekee kwa dunia venye iko sawa ukiristo ni nyoko nyoko
 
Keshaingiziwa za kutosha kwenye akaunti ili ahadae watu! Michezo yote inayochezwa na fedha za mafuta zisizo na kazi hapo middle East inafahamika. Let him go; Kristo analichunga kanisa lake.
Unaweza ukaleta ushahidi wa unachoongea?
 
Paul alishasema wazi enzi hizo za Rumi...Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo...Warumi 8:35
 
Ameamua kurudi kwenye makomamanga, matikiti, na nyama.
Safari ya Kanaani ni ndefu na inahitaji uvumilivu wa hali ya juu, Mungu atusaidie tuwe na uvumilivu na subira lasivyo mtu ataishia Kadesh bernia.
Naomba nikuulize Author wa huu Uzi..
Kwakuwa mwasema Mnaiamini Torati na manabii,naomba bila porojo mniambie ni wapi Mtume wenu Muhamadi ameandikwa kwenye torati ama ni nabii gani alitoa unabii juu ya ujio na Kazi aliyoifanya Muhamadi,lakini pia mtuambie mpo kwenye nyakati gani kwa sasa kama Torati na manabii vilivyosema?
Angalizo,naomba tutumie Agano la kale kujibu niliyokuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…