Baada ya miaka mitano ijayo namwona John Heche mbali sana kwenye siasa za Tanzania

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,174
Reaction score
3,156
Jamani kamanda huyu Heche anakitu kikubwa sana juu ya siasa, za kizarendo za Tanzania , huyu ni Azina ya taifa, leo na hata badae.
Ana uwezo wa kujenga hoja za kuwagusa watu masikini, lakini huwa anatoa mifano hai, juu namna lasirimali za nchi zinavyoibiwa, na serikali ya ccm.

Nimemfuatilia kwenye kea karibu kampeni za" No reforms No election" watanzania wengi wanaguswa na hoja zake.
Watanzania na wanachadema wote hajutii kumchagua kuwa makamu mwenyekiti.
Lakini pia chadema ndio chama kinachopendwa na watanzania wote zaidi kuliko chama chochote.
Watu wanakwenda wenyewe kwenye mikutano ,wanatumia nauli lakini pia wanachangia tone tone! This is" extremely amezing" tofauti na huko ccm.

NB, chadema mna vijana wengi sana" smart" endeleni kuwapa nafasi, No body in ,No body out, No reforms No election ,Mungu ibariki chadema Mungu ibariki Tanzania, by mwinjilist wenu Gabeji.
 
Atafika mbali kama ataacha tamaa iliyompoteza Zitto.
 
Asipopatwa na tamaa anahitaji walau mabunge mawili mengine ya kumuongezea uzoefu ana kila kitu Cha kuwa mwanasiasa wa maana na mwenye maono.
If he stays true to the Course.
Sure aongeze hekima na busara tu
 
Heche na Lissu wako Vizuri na wanaaminika sana na jamii ndio maana watu wengi hasa vijana wanakiamini chama cha chadema, majasiri na siyo rahisi kununulika, Mungu awaepushe na njama chafu za ccm na serikali dhalimu ya ccm
Amina
 
Back
Top Bottom