imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Baada yamiaka mitano atakuwa anahekima, busara zaidi, hivyo atakuwa amekomaaaAAaaaaAAA; nami nasisitiza ujibu swali hilo zuri.
Sioni ugumu wowote wa kulijibu, mkuu 'Gabeji'.
Mada yako ni nzuri, lakini sijui ni nini kilichokufanya uweke hiyo miaka mitano.
Na wala usifikiri kuwa hapa tunaweka 'mpambano' na yeyote ndani ya chama. Hao viongozi wawili wa juu wanaendana vizuri sana.
Tafadhali hii iwe "hazina"Azina
Let's ask mr. Chengela and her mother in law such question.Where is mdude nyagali ?
Mwana CCM atamuongezea gari nyingineJamani kamanda huyu Heche anakitu kikubwa sana juu ya siasa, za kizarendo za Tanzania , huyu ni Azina ya taifa, leo na hata badae.
Ana uwezo wa kujenga hoja za kuwagusa watu masikini, lakini huwa anatoa mifano hai, juu namna lasirimali za nchi zinavyoibiwa, na serikali ya ccm.
Nimemfuatilia kwenye kea karibu kampeni za" No reforms No election" watanzania wengi wanaguswa na hoja zake.
Watanzania na wanachadema wote hajutii kumchagua kuwa makamu mwenyekiti.
Lakini pia chadema ndio chama kinachopendwa na watanzania wote zaidi kuliko chama chochote.
Watu wanakwenda wenyewe kwenye mikutano ,wanatumia nauli lakini pia wanachangia tone tone! This is" extremely amezing" tofauti na huko ccm.
NB, chadema mna vijana wengi sana" smart" endeleni kuwapa nafasi, No body in ,No body out, No reforms No election ,Mungu ibariki chadema Mungu ibariki Tanzania, by mwinjilist wenu Gabeji.
Atahamia Ccm uchaguzi huu ukipita.Jifunze kwa kilichotokea kwa Prof. Kitila, Mch. Msigwa,Kafulila na usaliti wa Prof. Haruna.Jamani kamanda huyu Heche anakitu kikubwa sana juu ya siasa, za kizarendo za Tanzania , huyu ni Azina ya taifa, leo na hata badae.
Ana uwezo wa kujenga hoja za kuwagusa watu masikini, lakini huwa anatoa mifano hai, juu namna lasirimali za nchi zinavyoibiwa, na serikali ya ccm.
Nimemfuatilia kwenye kea karibu kampeni za" No reforms No election" watanzania wengi wanaguswa na hoja zake.
Watanzania na wanachadema wote hajutii kumchagua kuwa makamu mwenyekiti.
Lakini pia chadema ndio chama kinachopendwa na watanzania wote zaidi kuliko chama chochote.
Watu wanakwenda wenyewe kwenye mikutano ,wanatumia nauli lakini pia wanachangia tone tone! This is" extremely amezing" tofauti na huko ccm.
NB, chadema mna vijana wengi sana" smart" endeleni kuwapa nafasi, No body in ,No body out, No reforms No election ,Mungu ibariki chadema Mungu ibariki Tanzania, by mwinjilist wenu Gabeji.
Shetani la kike limekunywa damu yakeWhere is mdude nyagali ?
Sio Heche mkuu, huyu anapoongea huwa anamanisha, labda john myika lakini sio Heche, huyu anakariba kama ya Tundu Lisu.Atahamia Ccm uchaguzi huu ukipita.Jifunze kwa kilichotokea kwa Prof. Kitila, Mch. Msigwa,Kafulila na usaliti wa Prof. Haruna.
Alivyoingia Lyatonga Mrema hali ya hewa kwenye vyama vya siasa vya upinzani mdudu aliingia baada ya kukabidhi tàarifa ya kazi aliyotumwa
Tuombe uzima na afya tutajioneaSio Heche mkuu, huyu anapoongea huwa anamanisha, labda john myika lakini sio Heche, huyu anakariba kama ya Tundu Lisu.
HowUpo nje ya mada mkuu
Upo sahihi mkuu, ndo maana nimesema after years the guy will be next level, ndani ya kuwa makamu kuna vitu atajifunza, vingi sanakiongozi mahiri utamgundua, kwenye, nyakati ngumu kama hizi.
kiongozi mzuri, hawezi kuwa upande hunukao damu.
Heche, nimemfuatilia hivi karibuni nimegundua ni tunu. ni kiongozi sio tu anajiamini bali, aongeyo yanatoka moyoni mwake kizalendo.
Huyu sio kiongozi, wa pangu pakavu, tia mchuzi. yamkini tunaomba Mungu amtangulie kwenye harakati zake.
ikumbukwe upande aliochagua ni upande wa haki, upande angavu usio na chembe ya dhulma.....upande ambao hauna damu za viumbe wa Mungu.
Hakika, namuona mh Heche akifika mbali na taifa litainuliwa na hawa watu wa hii sampuli.
ukisema ajibehave kihekima, hekima amfanyie nani?......sometimes hata wahubiri huangalia muktadha....yaani nini na kipi wakizungumze. aluta continua braza, mkondo wa matumaini unawategemea.
Not sure, most likely he was killedWhere is mdude nyagali ?