Baada ya miaka mitano ijayo namwona John Heche mbali sana kwenye siasa za Tanzania

Baada ya miaka mitano ijayo namwona John Heche mbali sana kwenye siasa za Tanzania

Chadema ni chama kinacho-discuss issues zinazolikabili taifa tofauti na mboga mboga wazee wa kusifia na kuleta wasanii ndio maana unaona chadema inatapa uungwaji mkono kila sehemu ya nchi..... Raia wengi sana wana maisha duni.
 
Sahihi
 
Atahamia Ccm uchaguzi huu ukipita.Jifunze kwa kilichotokea kwa Prof. Kitila, Mch. Msigwa,Kafulila na usaliti wa Prof. Haruna.
Alivyoingia Lyatonga Mrema hali ya hewa kwenye vyama vya siasa vya upinzani mdudu aliingia baada ya kukabidhi tàarifa ya kazi aliyotumwa
Hap walikuwa na nafasi gani kwenye chama? Hapo halipo si rahis
 
Extremist wakati hajawai hatta kuua sisimizi? He is smart than most of you guys
Unaelewa maana ya kuwa extremist? Basi tufanye ni muhafidhina,nationalist au hardliner au mwanaharakati.

Watu wa hivi hawanaga future ya maana kwenye siasa
 
Subili utaona mkuu
Wewe ndio subiria ila sisi tunaojua kutambua watu ndio tunakwamba ataishia kuwa kama Lisu.

Mbaya zaidi Huwa anaropoka kama alivyosema msajili afute Chadomo hawatafanya kitu

Leo hii anasema anaenda mahakamani kudai ruzuku na ametii amri 😁😁😁😁😁
 
Kwahiyo masikini ndio anahaki hii nchi tajiri Hana haki huo ni ubaguzi sio hoja
 
Back
Top Bottom