KOsa kubwa ni kukufanyia upuuzi na ukatoa hela nyingi..then now bado unawasiliano nao.!!Sasa mkuu, angalau ungesema kwanza kosa kubwa ni lipi hapo, ni kukutana na hiyo familia? au ni kutoa hizo pesa? Halafu ndo umuite kaka mkubwa sasa waje wanitandike ๐
ww ni taira mkuu!!.
ila una mawe aisee.
Wewe umetumia hela vibaya. Hapo umepoteza zaidi ya 100M na hakuna ulichopata zaidi ya maudhi. Sasa tafuta 100M nyingine, kuna mahali nitakueleza uende, huko mahari ni 10,000 tu.
100,000,000 รท10,000 = 10,000. Yaani utajipatia wake mbadala 10,000
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hiyo miaka miwili alikuwa anaishi kinyumba na mtu mwingine, yamemshinda, anatama kurejea.
Kuna namna wanavyokuona na kukuchukulia poa.
Hii familia itakuja ikuue. Kama sio leo, basi kesho.
Mwenye macho haambiwi tazama.
Kaa mbali na bomu
Kiufupi wewe ni simp tu
Ulipoombwa hela siku ya kwanza tu pale ilitakiwa upige chini hapo hapo.
Na sasa unaenda kumsamehe tena na kuishi naye
Usiwe mjinga ndugu
huyu jamaaa n m...........Gazeti lote hilo unaelezea k moja,
Wanasema ni vigumu sana kumshauri mtu aliyekaribia kutapeliwa..Hili sakata lingekupata wewe ungechukua maamuzi gani mdau?
Upo nje ya mada na ujifunze alama za uandishi!Inasikitisha Yani ww kusex naye anakwambia mpaka ndoa ila wahuni boda boda wanampa vivocha halafu wanamtifua wanavyotaka front and back na mimba katoa Sasa anataka uje umtibishe Kisha ahangaike na ww si ukatafute katoto ka 2000 halafu angalia mwanamke asikuzidi vision akikuzidi ndio mambo kama haya Mimi wife aliniambia ndoa nikajibana nikatafuta pesa miaka kama miwili nikapata kama kamilion 4 hivi nikaja kupewa michongo ya upandaji miti nikanunua eka 5 kwa 3.5 nyingine nikapanda na miti ndugu kakalia siku mbili tatu sasahiv kananisifu kuwa na akili nzuri kijana acha upumbavu
Watu hawashangai millioni 15 ila wanashangaa wewe kumpa mama mkwe millioni 15!!Waheshimiwa! Kwa hii story niliyoandika nimegundua kitu kimoja cha ajabu sana, imagine like 70% hawajaongea kuhusu matukio ya hiyo familia na tabia zao za ajabu ila wanashangaa kutoa 15M ??!!!
Kiukweli nimepambana sana na bado napambana, ilifikia hatua nikataka kuuza gari, na biashara nilifunga nikaanza from scratch! Lakini kwenye maisha yangu yote sijawahi kuwa na uoga wa kushtushwa na 7figures.
Mtu anasema huna uwezo wa kutoa 15M, mwingine kama story ni ya kweli basi 0 moja imeongezwa ๐... sasa hebu jiulize kitu kimoja, kama tokea umezaliwa hadi sahivi (naamini wengi ni 30s) unakosa imani kabisa mtu akiandika 15M, ramani yako (roadmap) ipoje aise? Au ndo tunaishi kwa mazoea tu kwamba ukila, ukinywa ndo baasi hayo ndo maisha? Hakuna savings, hakuna malengo, hakuna dharura? 15M si pesa rahisi kupata wala kutoa, lakini it means hata ukiipata ila ukaja kuipoteza kwenye hasara za biashara inaweza kukuzika!
Ukiendelea kushtushwa na hizo pesa hutozipata mazee, sio kwamba ninazo hata! ila sometimes act kama unazo at least ikujengee ujasiri, maana sasa kama unaisoma 15M na bado unashangaa japo ni maandishi tu na upo over 30 si hatari hiyo?! Acheni hizo mambo bhana tupambane ๐๐๐
Nimecheka aisee๐Bidada karudi kwa mtoa mada, kaona sokoni pagumu, mwanaume akishampa buku ya vocha, anamwambia lodge ni wapi tukapumzike, kaona ohoo huku nje watu hawatoi hela kizembe ngoja nirudi kwa boya langu, boya nae kajanjaruka Lamomy Melancholic Brightburn
Naachaje kubeti sasa?! Mimi na betting ni sawa na wewe na hiyo attachment yako kiongozi, niache kitu kilichonitoa kwenye kupanga?!!!!ushaacha kubeti maana na maisha ulibeti na mwanamke ukabeti???je umetoka nyumba ya kupanga????
m.......... mwenyewehuyu jamaaa n m...........
Bro bhana, kwahiyo unadhani tokea ile 2024 hadi sasa nimelala sio?! ๐Wanasema ni vigumu sana kumshauri mtu aliyekaribia kutapeliwa..
Ngoja wakuingize kwenye mfumo wakupige kama ngoma ndo utazinduka usingizini
Kwamba mama mkwe akiwa na janga asisaidiwe bro?! Nilichozingua hapa ni kwa vile nilimuamini sana binti hivyo nikatoa hicho kiasi tukiwa hata hatuna ndoa...Watu hawashangai millioni 15 ila wanashangaa wewe kumpa mama mkwe millioni 15!!
Kumbe nikiipeleka kwa kina SRK napiga pesa sio? ๐Hii ni script ya movie ya Kihindi
Acha uchawi bro, pimbi na usiyejielewa mwenyewe bhana... Mbona umemalizia vizuri tu sentensi yako ila umeanza vibaya mkuu?! ๐Pimbi na usiyejielewa. By the way this is lesson learned story
Haha! Sawa sawaLeo
za wadau zinatosha๐
Hawa watu wajinga wanapambana kuzipata hizo pesa bro, piga kazi kwa bidii na usiite watu wajinga, utazipata ๐Awa watu wajinga ivi wanatoaga wapi izo ela za ivo.
Nipe msamiati mwingne km sio ujingaHawa watu wajinga wanapambana kuzipata hizo pesa bro, piga kazi kwa bidii na usiite watu wajinga, utazipata ๐