Baada ya miezi 10 hatimaye Joseph Haule a.k.a Professor Jay, aonekana kwenye mitandao ya kijamii

Baada ya miezi 10 hatimaye Joseph Haule a.k.a Professor Jay, aonekana kwenye mitandao ya kijamii

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Amepost kwenye insta story yake

MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa amelazwa baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika.

jay.jpg
 
""Wakasema nina ukimwi kwa kuwa nilikonda ghafla
Wanataka kunizika mzima kabla sijafa
Waliosema nina ngoma wengine tushafukia
Wanaomba nife leo naamini watatangulia
Mama pumzika pema daima tunakulilia
Na bado wanachonga sana but man the king is here""
 
View attachment 2429462
Jambo la heri
 
""Wakasema nina ukimwi kwa kuwa nilikonda ghafla
Wanataka kunizika mzima kabla sijafa
Waliosema nina ngoma wengine tushafukia
Wanaomba nife leo naamini watatangulia
Mama pumzika pema daima tunakulilia
Na bado wanachonga sana but man the king is here""
"Kipi Sijasikia" ina beat tamu sana, usikilize ile bass ya Majani kwa speakers za JBL, utabaki unatabasamu tu mpaka mwisho
 
Back
Top Bottom