Baada ya miezi 10 hatimaye Joseph Haule a.k.a Professor Jay, aonekana kwenye mitandao ya kijamii

Baada ya miezi 10 hatimaye Joseph Haule a.k.a Professor Jay, aonekana kwenye mitandao ya kijamii

Familia imekanushaa kwamba ametoka nje . ...yess hyo picha kwl ilikua instagram ila ilijipost kwa bahati mbaya..hyo picha ya zamani amesema mdg wa Prof Jizze
 
Sifahamu kwakweli.
Hii imemtia Mange na watu wake kashikashi.
Nijuavyo mimi ugonjwa sio kitu cha aibu hata kama ni ngoma.

Ni nini haswa?
Mdomo koma🤫

Ugonjwa wa mtu ni privacy yake na watu wake wa karibu, mzee. Vitu vingine ni common sense tu. You can't be losing sleep over that.
 
Back
Top Bottom