Baada ya miezi 10 hatimaye Joseph Haule a.k.a Professor Jay, aonekana kwenye mitandao ya kijamii

Baada ya miezi 10 hatimaye Joseph Haule a.k.a Professor Jay, aonekana kwenye mitandao ya kijamii

Kalapina ".....acheni uchoko nyie mabinti wa ving'oko na mgoroko dudubaya, Prof j nakuonea huruma najua una miwaya virusi alivyokupa Malaya kule Tanga....."
Prof J "...yeyote aweza ugua na kuwa bua, kikubwa kuombeana uzima, pasipo fitina kwenye mtima na kubwa ni kushukuru muumba maana yeye ndio hatima..."
 
Kama utafatilia Aya Mambo kwa umakini mkubwa na kufatilia kiundani siku Hadi siku tangu zilivyoanza hizi taarifa mpaka kufikia hii leo kwa namna ilivyo pande zote mbili alafu ukasoma text yangu vizuri na kwa utulivu mkubwa Utagundua kwamba mimi Sina Lakusema Asanteni sana.
 
Health is wealth...
Mungu azidi kutujaalia afya njema wana JF wote na watanzania kwa ujumla.
 
Health is wealth...
Mungu azidi kutujaalia afya njema wana JF wote na watanzania kwa ujumla.
Kuna watu humu sio wa kuwaombea afya njema hata kidogo
 
Katika maisha tujifunze kupitia yeye tusivimbe sana maana hakuna aliejua kua mwamba ataumwa kias kile na hakuna aliejua atapona mungu ni mkubwa tusijisahau sisi viumbe dhaifu
 
Back
Top Bottom