Afya ni mtaji mkubwa sana. Ila watu hatuna shukrani kwa Anayetupa uzima na afya
Mola ampe nafuu arejee kwenye majukumu yake
KabisaAfya ni mtaji mkubwa sana. Ila watu hatuna shukrani kwa Anayetupa uzima na afya
Jambo la heriAmepost kwenye insta story yake
MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa amelazwa baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika.
View attachment 2429462
"Kipi Sijasikia" ina beat tamu sana, usikilize ile bass ya Majani kwa speakers za JBL, utabaki unatabasamu tu mpaka mwisho""Wakasema nina ukimwi kwa kuwa nilikonda ghafla
Wanataka kunizika mzima kabla sijafa
Waliosema nina ngoma wengine tushafukia
Wanaomba nife leo naamini watatangulia
Mama pumzika pema daima tunakulilia
Na bado wanachonga sana but man the king is here""