JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Apunguze mapombe makali sasa na ulaji wa hovyo wa junk food, minyama choma, kitimoto, abadirishe mfumo wa maisha, mazoezi lazimaUgonjwa ni kitu kibaya. Ugonjwa unanyanyasa viba sana.
Mungu ampe uepesi
Prof J "...yeyote aweza ugua na kuwa bua, kikubwa kuombeana uzima, pasipo fitina kwenye mtima na kubwa ni kushukuru muumba maana yeye ndio hatima..."Kalapina ".....acheni uchoko nyie mabinti wa ving'oko na mgoroko dudubaya, Prof j nakuonea huruma najua una miwaya virusi alivyokupa Malaya kule Tanga....."
Nafikiri ni mgonjwa wa kwanza Tanzania maradhi yake kufichwa kuliko hata JkAfya bado haijatengemaa sana! Mwamba aliugua sana aisee
Hivi kwanini imekuwa hivi?Nafikiri ni mgonjwa wa kwanza Tanzania maradhi yake kufichwa kuliko hata Jk
NdiyoKwamba pameshaziba kabisa maana hakuna wakugonga mlango au?
Umeona eenhh!!,tukiwa wazima na afya njema tunajaa kiburi na jeuri.Afya ni mtaji mkubwa sana. Ila watu hatuna shukrani kwa Anayetupa uzima na afya
NakaziaAfya ni mtaji mkubwa sana. Ila watu hatuna shukrani kwa Anayetupa uzima na afya
Kuna watu humu sio wa kuwaombea afya njema hata kidogoHealth is wealth...
Mungu azidi kutujaalia afya njema wana JF wote na watanzania kwa ujumla.