Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Dec 2, 2022 #41 Familia imekanushaa kwamba ametoka nje . ...yess hyo picha kwl ilikua instagram ila ilijipost kwa bahati mbaya..hyo picha ya zamani amesema mdg wa Prof Jizze
Familia imekanushaa kwamba ametoka nje . ...yess hyo picha kwl ilikua instagram ila ilijipost kwa bahati mbaya..hyo picha ya zamani amesema mdg wa Prof Jizze
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,012 Reaction score 23,633 Dec 2, 2022 #42 Glenn said: Sifahamu kwakweli. Hii imemtia Mange na watu wake kashikashi. Nijuavyo mimi ugonjwa sio kitu cha aibu hata kama ni ngoma. Ni nini haswa? Mdomo koma𤫠Click to expand... Ugonjwa wa mtu ni privacy yake na watu wake wa karibu, mzee. Vitu vingine ni common sense tu. You can't be losing sleep over that.
Glenn said: Sifahamu kwakweli. Hii imemtia Mange na watu wake kashikashi. Nijuavyo mimi ugonjwa sio kitu cha aibu hata kama ni ngoma. Ni nini haswa? Mdomo koma𤫠Click to expand... Ugonjwa wa mtu ni privacy yake na watu wake wa karibu, mzee. Vitu vingine ni common sense tu. You can't be losing sleep over that.