Baada ya Mo kumwaga mihela nyuma na kuifanya Simba kuingia Ligi ya Africa Sasa ni kama uongozi haumtaki ili upige mihela ya Africa

Baada ya Mo kumwaga mihela nyuma na kuifanya Simba kuingia Ligi ya Africa Sasa ni kama uongozi haumtaki ili upige mihela ya Africa

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Mo ategemee kabisa kuwekewa vikwazo vya kutosha ili aiache timu viongozi wafaidi maokoto kutoka Africa.

Hii inaitwa unahangaika wee kufunga Nyati miguu, mdomo anatulia tuli Alafu ukimaliza wajinga wanakuwahi wanakufunga wewe pia Alafu wanaanza kumkamua maziwa.
 
Amemwaga fweza nyingi sana zikiwemo Bil. 3 za usajili msimu huu na bado timu ni tia maji tia maji

Mimi ni shabiki wa SIMBA damu lakini timu ipo vibaya sana bado
 
Amemwaga fweza nyingi sana zikiwemo Bil. 3 za usajili msimu huu na bado timu ni tia maji tia maji

Mimi ni shabiki wa SIMBA damu lakini timu ipo vibaya sana bado
Labda Simba luwala lakini siyo Simba Sports Club
 
Shida ya Simba ni kocha, siku tukipata kocha mzuri, mambo yatabadilika. Sio kwa huyu Robertinio asiyejua anafanya Nini.
 
Back
Top Bottom