Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Yah, umeongea kwa usaahihi sana pengine ambao mara nyingi huu upande wanaume hautuutazami.Huyo mpe tu, kama ana watoto wako wa4 na anataka Talaka mpe anachotaka.
Si lazima iwe ni pumbu, pengine ana objective zake nyingine ambazo mume ni kikwazo.
Wakati mwingine mwanamke huwa ana malengo ya maisha nje ya kuzaa, kulea na kutunza mume.
Mwanamke anayeomba talaka ni bora kuliko anayeishi kinafiki hapo ndani na wewe.
Ujue kama ambavyo ndoa kuna time hata kwetu wanaume tunaona inatubana sometimea, vile vile kwa wanawake pia , bahat mbaya sana hii situation inaweza kuwa inawakumba wenginsana, wanawake kujikuta wanatumikia maisha ya ndoa tu na ku sacrifise theit other life purposes.
Nimekuelewa sana kaka, umenitazamisha upande ambao sikua nimeufikiria.
Na hii inaweza kukufanya umkubalie taraka mtu kiroho safi kabisa