Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ndio apewe talaka
Atapewa
Mimi mwanamke akishazaa tena zaidi ya watoto wawili utaonaje shida kumpa Talaka kisha kuvuta chuma kingine kibichi.
Mimi nashangaaga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio apewe talaka
Maslahi ya mwanaume ni yapi mkuu? Kwanini anataka mke?Siku zote tunasema hapa kuwa mwanamke yupo kimaslahi tu maslahi yakiisha kama LUKU kuisha umeme fyaaaaa
Kwa kifupi mwanamke yupo kwa ajiri ya faida hapo kwako siku akiona hafaidiki na chochote kitu swala la watoto hilo unalijua wewe. Mfano ndo kama uzi unaovyesomekaMaslahi ya mwanaume ni yapi mkuu? Kwanini anataka mke?
Hata mimi nashangaaAtapewa
Mimi mwanamke akishazaa tena zaidi ya watoto wawili utaonaje shida kumpa Talaka kisha kuvuta chuma kingine kibichi.
Mimi nashangaaga sana
Hata mimi nashangaa
No, nauliza kwanini mwanaume anahitaji mke? Ni maslahi gani anayatafuta kwa mke? Au hakuna ni shobo tu?Kwa kifupi mwanamke yupo kwa ajiri ya faida hapo kwako siku akiona hafaidiki na chochote kitu swala la watoto hilo unalijua wewe. Mfano ndo kama uzi unaovyesomeka
Mwanaume anahitaji mwanamke kwa ajiri ya kupata watotoNo, nauliza kwanini mwanaume anahitaji mke? Ni maslahi gani anayatafuta kwa mke? Au hakuna ni shobo tu?
Mwanamke akishazaa watoto wawili anakua zilipendwa , lazima hata soko lake hushuka , akishafika 40's ndio inabaki kipozeo Tu cha watu hakuna mwanaume mwenye akili timamu atayefanya malengo makubwa na aina hiyo ya mwanamke , labda awe na sifa za ziada Sana ,Atapewa
Mimi mwanamke akishazaa tena zaidi ya watoto wawili utaonaje shida kumpa Talaka kisha kuvuta chuma kingine kibichi.
Mimi nashangaaga sana
Mjini utalima lami?Kwani ukiishiwa lazima urudi kijijini?
Pesa inatafutwa na za kwenu tunazitakaTafuteni hela mabinti.
Huko tuendako ni kwa wenye pesa iwe mwanamke au mwanaume.
Mimi kashanizalia watoto wanne now anataka taraka, namuonea huruma maana sijui mwamba gani kampiga pumbu hadi kuvurugwa namna hii!!Atapewa
Mimi mwanamke akishazaa tena zaidi ya watoto wawili utaonaje shida kumpa Talaka kisha kuvuta chuma kingine kibichi.
Mimi nashangaaga sana
OK mkuu.Mwanaume anahitaji mwanamke kwa ajiri ya kupata watoto
Huyo mpe tu, kama ana watoto wako wa4 na anataka Talaka mpe anachotaka.Mimi kashanizalia watoto wanne now anataka taraka, namuonea huruma maana sijui mwamba gani kampiga pumbu hadi kuvurugwa namna hii!!
Binti KimosoAtapewa
Mimi mwanamke akishazaa tena zaidi ya watoto wawili utaonaje shida kumpa Talaka kisha kuvuta chuma kingine kibichi.
Mimi nashangaaga sana
Siyo elawee mdada ni aje aisee!! ivi unaikiri mjini mchezo???...kila ki2 ni ela,,,,kukojoa ela,kuoga ela,kulala ela kumwona dr ela,,,,wakati kijijini kukojoa unaingia porini unafanya yako,kuoga unaingia mtoni unafanya yako,kulala unaingia shambai unafanya yako,ukiumwa unamwona mtaalam wa miti shamba mambo yanenda sawa,,,,,,,''''mjini noma!!
Kabisa kabisaMwanaume firisika uone tabia ya mkeo iliyojificha....
Mimi kashanizalia watoto wanne now anataka taraka, namuonea huruma maana sijui mwamba gani kampiga pumbu hadi kuvurugwa namna hii!!
Wakati walishaapa kwa wataishi kwa shida na raha hadi kifo kiwatenganishe!!!,,wanafiki wakubwa hawa viumbe mmh!!Mwanaume firisika uone tabia ya mkeo iliyojificha....
Kuna kitu utikikosa kwenye haya maisha kutokana na uogaNdio maana kule hakuna Kodi nyumba bwerere na mashamba bwerere.
Wewe Kwa kuwa una duka la Jumla halifilisiki bakia huko huko mjini.
Cha kushangaza eti huyo.mwanamke hataki Mumewe aoe wa Kijijini.
Ndio maana Hadi nakufa sitokuja kufanya kitu kinaitwa kufunga ndoa ,never
View attachment 3191366